Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
unazungumzia njaa au bei za vyakula?Kila kona unakuta post za Makonda na Madawa. Sasa hizi zimetukinai bahna. Hebu tuongelee ile mada yetu pendwa ya mlo. Hivi njaa imeisha? Leo nimenunua debe kwa 25000. Nyie uko mlipo bei ya mahindi imepanda imepungua?
Mchele bei imepaa hadi 2400. Vip uko nyie?
Bei ndyo inadetermine supply na demand ya kitu.unazungumzia njaa au bei za vyakula?
Supply bana sio bei.Bei ndyo inadetermine supply na demand ya kitu.
Hivi nyie izo shule ndzo zinawafunza ujinga au. Unashindwa hata kurelate laws of demand and supply kudetermine price?Supply bana sio bei.
The higher supply,the lower prices and vice versa