ndio mana nimemuuliza yy yuko na ishu gani ili akiitaja tutamwelekeza jukwaa la kuipeleka mana yy anauliza juu ya kwann watu wanaongelea tu maswala ya kazi wakati mengine ya kuongelea yako na ameulizia jukwaa la nafasi za kazi sasa yy alitaka kule watu waongelee nn kama sio maswala ya kazi..................... sorry if i get u wrong
yy hajui jukwaa jingine zaidi ya hili yan anajua akingia jf anaenda moja kwa moja hapa hajui kuwa yapo na majukwaa mengne,.ni kumsaidia tu hakuna sbb ya kumponda