Tuongee kiume, mwendokasi wamefeli

Tuongee kiume, mwendokasi wamefeli

Tanzania tulichofanikiwa kwa 100% ni porojo na majungu tu hii miradi mengine hatuwezi hata kidogo.

Matatizo kibao na wahusika hawajigusi kuyafanyia kazi kwao kila kitu wanaona kipo sawa kabisa.
 
Kwani hapo dar mmegongelewa misumari simuhame tu mwishowe mtaambiwa mtembee kwa miguu kama wale walioambiwa wapige mbizi hakuna wakusikiliza kilio chenu
 
Sisi wa mikoani ngoja tukae kimya maana wa mikoani ndiyo "wenye" mkoa "wao".
 
Vipi kama mkipunguza kwanza kuzaliana hovyo bila ya mpango labda baada ya muda tutakuwa na watu wachache na hivyo mabasi kutoshelezea!
 
Nmepanda mwendokasi mara 3 sitakuja kupanda tena maana nliishia kuchelewa kwa kukaa kulituoni kwa muda mrefu
 
Vipi kama mkipunguza kwanza kuzaliana hovyo bila ya mpango labda baada ya muda tutakuwa na watu wachache na hivyo mabasi kutoshelezea!
Unamuhujimu mheshimiwa mkuu, na hili halikubaliki kabisa..
 
PANDA DALALADALA AU BODABODA .... MAMBO MENGINE ACHANA NAYO
Kwenye huduma watu, wanapotoa kero zao, wewe unavuruga, unsonekana sio muelewa.

Ni bora ukae kimya, Kuna Daladala ya Mbezi Kariakoo/ Psta, ama Kimara Kariakoo/ Posta.
 
Back
Top Bottom