Sielewi tatizo la simu watalitatuaje. Nina mwaka mzima najaribu kuwapigia wakiwa "live" nichangie sijawahi kufaulu. Suala jingine ni kuhoji watu walewale karibu kila wiki hasa Jumapili.
Yahya, tuambie na sisi wengine tutawezaje kuwa washiriki kwenye studio zenu "live" hasa Jumapili kunapokuwa na mada nzuri sana za SIASA.