Hashim Rungwe Live Star TV kipindi cha tuongee asubuhi

Kinambeu

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
906
454
Tuongee asubuhi wakati huu Hashim Rungwe akiwa Live on star tv.

Ajadili mada Serikali changa inahitaji kukosolewa?

Angalieni mambo motomoto
 
Ukiona wapinzani wanaanza kumkubali Hashim Rungwe ujue kuna jambo huko upinzani
 
huyu bituro hovyo kabisa anaongea utadhani hajui kinachoendelea,Heche yupo makini sana
 
Huyu nae watu wanamchukulia serious?? Kweli Watanzania ni vigeugeu sana.
 
Swali la na mada nzima ni ya kijinga?Watz huwa wanajiuliza maswali ya kijinga ili wapate majibu ya kijinga. Huyo rungwe nae aombe msamaha na aiondoe CCM mwenyewe kwa vile ndie mmoawapo walioidhamini kwa watanzania kwa nguvu
 
Back
Top Bottom