domo bwakubwaku
Member
- Mar 2, 2011
- 86
- 29
kaka Yahya hivi ulitumia kigezo gani kumualika huyu Makonda maana nadhani hafanyi constuctive arguments zaidi ya ushabiki tu
wasimamizi wa kipindi cha leo,hawakufanya haki ya kutusomea maswali na maoni yetu watazamaji,bado namuuliza mchungaji,atutajie matusi yanayotukanwa viongozi,isije kuwa ukweli kugeuzwa matusiTuwapime kwa yale waliyoyafanya - makonda
wasimamizi wa kipindi cha leo,hawakufanya haki ya kutusomea maswali na maoni yetu watazamaji,bado namuuliza mchungaji,atutajie matusi yanayotukanwa viongozi,isije kuwa ukweli kugeuzwa matusi