Kwa Yale Maelezo Nakusanya Cash
Ninunue Kengele Ile, Ila Mwanzo Nilidhani Inauza Laki Kadhaa.
Kumbe Inahitaji Pesa Ndefu Mpaka Unachoka Na Huu Uchumi Wa Kati
Kwa Yale Maelezo Nakusanya Cash
Ninunue Kengele Ile, Ila Mwanzo Nilidhani Inauza Laki Kadhaa.
Kumbe Inahitaji Pesa Ndefu Mpaka Unachoka Na Huu Uchumi Wa Kati
Ishu sio kushusha radi tu,hio radi inatoka kwa nani?Eliya alishusha moto kutoka kwa Mungu Muumba wa mbingu na nchi,na alishusha ili kuwaonyesha wale manabii 400 wa mungu Baali kwamba yupo Mungu wa kweli,na ule moto ulishuka ili kulamba sadaka na ukalamba hadi mawe na maji yaliyowekwa pale,sasa huyo mzee wa Sumbawanga anashusha radi ya mazingaombwe tu,kumbuka hata wachawi wa Pharaoh walibadili fimbo kuwa nyoka na waliiga mambo kadhaa aliyofanya Musa lakini baadae wao wenyewe walikiri kwamba hawawezi tena maana ule ulikuwa ni mkono wa Mungu.