JAMHURI JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 449 Reaction score 60 Sep 17, 2018 #1 Ndg zangu pamoja na mambo mengine kama wanadamu Hatuna budi kumtegemea Mungu kwa kila jambo Ni wiki nyingine tena tunaianza humo katikati kuna mengi yatajitokeza Hivyo ili tuwe salama tufanya yafuatayo 1.Tujitahidi kufanya ibada zetu tens bila kujionyesha kwa watu 2. Tufanye aliyotuamrisha na tukatazike na mabaya 3.Tuombeane mema tuache kuombeana mabaya Huenda tukifanya haya Mungu anaweza kutusamehe na kutuepushia na mitihani ya hapa Duniani.
Ndg zangu pamoja na mambo mengine kama wanadamu Hatuna budi kumtegemea Mungu kwa kila jambo Ni wiki nyingine tena tunaianza humo katikati kuna mengi yatajitokeza Hivyo ili tuwe salama tufanya yafuatayo 1.Tujitahidi kufanya ibada zetu tens bila kujionyesha kwa watu 2. Tufanye aliyotuamrisha na tukatazike na mabaya 3.Tuombeane mema tuache kuombeana mabaya Huenda tukifanya haya Mungu anaweza kutusamehe na kutuepushia na mitihani ya hapa Duniani.
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,580 Reaction score 29,716 Sep 17, 2018 #2 HAKIKA KILA ANAEMUOMBEA MEMA MWENZIE AU JIRANI YAKE BASI ATABARIKIWA. Laiti kama wanadamu tungekuwa na moyo huo basi dunia ingekuwa sehemu salama na yenye tumaini kwa maisha yetu wanadamu
HAKIKA KILA ANAEMUOMBEA MEMA MWENZIE AU JIRANI YAKE BASI ATABARIKIWA. Laiti kama wanadamu tungekuwa na moyo huo basi dunia ingekuwa sehemu salama na yenye tumaini kwa maisha yetu wanadamu
ema nuel JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 570 Reaction score 577 Sep 17, 2018 #3 Amen mkuu keep up tuombeane mema
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Sep 17, 2018 #4 ameen mkuu barikiwa sana
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,365 Reaction score 21,747 Sep 17, 2018 #5 Huu uzii wa maana lakin hauna wachangiaji, ungekuwa umeandika pumba apaa, ungeona uzii umepofika,