SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,248
Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe Wakati akiwa katika hafla au ufunguzi wa mikutano ya kisiasa, iliyopigwa marufuku kwa takriban miaka sita Nchini Mjini Mwanza, Tanzania. Alimaka.
Wakati wa hotuba yake, alieleza safari yake, ya CHADEMA na Vyama vingine vya siasa ilivyokuwa ndefu na ngumu iliyomfanya kusimamia haki na demokrasia nchini.
Alielezea ujana wake pamoja na historia fupi ya Chadema ambapo alimtaja marehemu Bob Makani (msukuma)🤔 na ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Chadema miaka 30 iliyopita. Aliwataja na Viongozi wengine wengi.
Aliendelea kutoa sababu na shauku ya kutafuta maridhiano, kuundwa kwa tume mpya ya uchaguzi miongoni mwa mengine baada ya kuachiliwa kutoka gerezani/kizuizini na kutaja manufaa mapana ya kutoka kwake kwa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu na kwa nini alimpongeza Mheshimiwa Rais muda mfupi baada ya kuachiwa huru.
Pia, wakati wa hotuba yake ambayo ilikuwa ya kusisimua, kuamsha, yenye shauku, na ya kushangaza wakati fulani, aliweza kueleza, kwa umakini, na busara dhidi ya mgongo wa ucheshi wake, "Cha Arusha"... ambapo umati ulikubaliana na vifijo! Umuhimu wa Maridhiano. Umuhimu wa Haki, Umuhimu wa Kuacha Uhasama Umuhimu wa Katiba Mpya n.k.nk.
Hata hivyo, mahali fulani alianza kuamsha hisia, hasa alipoanza kusema kuna jambo lazima aliongeleee hata kama wengi wata udhika/ kasirika... mdomo wangu ukadondoka mapigo ya moyo yakapanda, moyo wangu ukaanza kudunda, nilidhani leo ndio leo siku ambae atamsulubisha Hayati "J.P.M" ata ukweza umati wa watu ukimsikiliza, kutoka uwanjani na kwingineko, kutoka Australia hadi Zimbabwe yaani dunia nzima. Uwanja ulikuwa kimya kabisa kwa sekunde moja isipokuwa kwa sauti moja ambayo ungeweza kuisikia mara nyingi chinichini akibwabwaja😂 Lakini kwa hatua yake ya mahesabu, na "Udingi" mbele alituliza hofu na matarajio ya wengi nikiwa mmojawapo.
Akatajwa Rais Samia S.H... Uwiii.😥 ilikuwa hatari.
Mshtuko ulififia, nilipata tena ujasiri wa kuendelea kusikiliza, nikijua ataendelea bila uovu au kama alivyoitaja, kwa ufasaha, "propaganda za kitoto".
Fasta fasta... Nilisikia uongo ambao umeambiwa/umeenezwa mara kwa mara, propaganda na uwongo ulioenea kwa nguvu na uhasama ambazo zimesambazwa kwa uangalifu, na umakini mkubwa yaani kupotosha historia, na kudai uongo uliochochewa na wale wanaoifuja bila kuchoka Nchi yetu na Bara letu. Mafisadi, Wazandiki. Kuwa.... Hayati Raisi
"Alikataa uwepo wa Corona Nchini".
...najiuliza...
Kwani kurudia uwongo huo wa "Childish Propaganda" mara kwa mara, sio uwendanaIzimu lakini kabla hata sijamaliza mawazo yangu, alisema "Ni Uwendanazimu" "Nimwendawazimu" Nilibaki najiuliza nani sasa ni Mwendawazimu.??
UwendawaZimu au kwa kimombo Insanity.
Kwa Tafsiri fupi, ni ukichaa ni tusi. Neno hilo au msamiati huo unamaanisha "Kukosekana kwa akili" Kichaa. Mgonjwa wa Akili!
Je Mh. Mbowe Amemtusi Hayati Raisi J.P.M?
Je hayo maridhiano anayotafuta ni kwa mustakabhali wa nchi au ni wa kibinafsi? Bado ana kinyongo?
Kwa kimombo... By any definition it was an ill-advised choice of word, however, ulimi ulisha tema cheche, it was reckless. The words did not fit well, in my view, its counter-intuitive, as it appears, it was a shift from a well-prepared, well-reviewed, well-rehearsed and coerced speech geared towards a true and real Reconciliation cry! A true counter to a well-propagated propaganda "Childish Propaganda" Sweeping the country. There is a saying that doing the same thing over and over again and while hoping for a different result is "Uwendawazimu" :-Kuendelea kusema na kueneza uwongo kuhusu Hayati Magufuli alikataa uwepo wa Corona Nchini ndio Uwendazimu wenyewe. Wewe ndie Mwendawazimu.
Kipi cha ajabu alichokifanya JPM kuitwa Kichaa? Mwendawazimu?
Nawasilisha😥🤔.

na
Lakini kwa hatua yake ya mahesabu, na "Udingi" mbele alituliza hofu na matarajio ya wengi nikiwa mmojawapo,
ilikuwa hatari.