Tuombe Mungu wa mbinguni Mafuta yasipande Bei Jumatano!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Imebaki Mungu wa mbinguni tu atuhurumie ili Bei ya Mafuta isiendelee kupandisha gharama za Maisha

Nawatakia Dominica Njema 😀😂
 
Hili ni la ukweli, maisha yetu Watanganyika ni magumu mno kwa hii hawamu ya sita, matajiri ndiyo wanaofaidika.
 
Hili ni la ukweli, maisha yetu Watanganyika ni magumu mno kwa hii hawamu ya sita, matajiri ndiyo wanaofaidika.
Wakati matajiri wanajichanga wachague mfalme wao sisi tulikuwa tumelala.

Watu wametumia mabilioni kuchonga kinyago chao...acha wazirudishe kwanza..( ni ndoto lkn nisihukumiwe)

Acha akili zitukae kwanza
 
Back
Top Bottom