ndo wamenpangia nsomee hyo cozi broowewe ulipanga kusomea nini?
Hapana, wala haina haja ya kumbeza, uko alipo ni mahala sahihi, hajakosea cha msingi ni kumpeleka anapopataka.Mimi naona huna sifa yeyote ya kwenda chuo kikuu.
Kuandika tu kwa ufasaha huwezi sasa huko chuo unaenda kufanya nini?
Hapana, wala haina haja ya kumbeza, uko alipo ni mahala sahihi, hajakosea cha msingi ni kumpeleka anapopataka.
Huko alipo sio "uko alipo" naona ni pacha wako kwa ukilazaHapana, wala haina haja ya kumbeza, uko alipo ni mahala sahihi, hajakosea cha msingi ni kumpeleka anapopataka.

Asante sana.😀Huko alipo sio "uko alipo" naona ni pacha wako kwa ukilaza![]()
![]()
ndyo ila ss kuna vyuo nliomba kama ardhi maswala ya archtrcture ndo nlokua nataka ss nashangaa wamenpangia hyo coz apo ss ndo maana nkauliza tu kwa uzur na sio kwmba nlikua cna ndoto ni imetokea tu kutokana na mfumo wetu wa kielimu nchiniMungu anisamehe....wewe umefaulu form six?mhh
naenda kutafta rizki ndugu yngMimi naona huna sifa yeyote ya kwenda chuo kikuu.
Kuandika tu kwa ufasaha huwezi sasa huko chuo unaenda kufanya nini?