Wanawake ni wale wale wale tu mkuu na wazungu waliwatetea sana na kuwekaa 50 Kwa 50 ikawapa jeuri haswaa ...
Ss Ili ww wasikupe presha lipia huduma akupee unachokitaka kwakee nawe mpe pesa yakee pitaa hv,,njee na hapo n Kila cku utauliza uoe wapii..
Jana nimekutana na mmoja hapo shamo tower nikachukua namba ,kufika mchana naombwa lakii ,HAKI nililiaa sanaaa