Wakuu.suala ni kwamba fursa ikiyopo itumike bila ya kufumbuliwa haraka..nimeleta uzi nadhani unajieleza tu vizur..sijatoa ni bas gan na mbinu gan wadau washa overlook..na kishtum..mimi.nimetoa kijiprice changu ya 6000 tu kwa mwez..suala ni kupitia ukasoma ukiona kinakufaa una ni PM mzigo unasukumiwa.kma unayo unauchuna... .sa sion haja ya kurushiana lawama
Wakuu.suala ni kwamba fursa ikiyopo itumike bila ya kufumbuliwa haraka..nimeleta uzi nadhani unajieleza tu vizur..sijatoa ni bas gan na mbinu gan wadau washa overlook..na kishtum..mimi.nimetoa kijiprice changu ya 6000 tu kwa mwez..suala ni kupitia ukasoma ukiona kinakufaa una ni PM mzigo unasukumiwa.kma unayo unauchuna....sa sion haja ya kurushiana lawama
Wengine sio wataalamu wa IT hivi ni vitu gani tuelewesheni vizuri
Sasa tunasaidianaje jamani
Free VPN hapa nilipo hakuna
kumbe maujanja yote hayo hayatumiki kwenye smartphone? tafuteni yanayotumika huko. siku hz pc ni kuongeza mizigo kwenye nyumba.
its.the authentication.codes that will be only.6000/ per month.haihitaj ununue code 10. hata moja.tu.
Ni PM nikofoadie codes if you are in need of..
*****viva**********
Kaka Leo nalipa Deni lako kwa 2MB/sec
Hapo ilikua inapanda mpaka 2.3MB/sec ila nimekupa average ikishuka sana 1.8MB/sec na ndo uppepo ukivuma vibaya napata speed ya kijinga 1MB/sec
Kwa kweli Airtel ni mtandao wenye Kasi kweli hapa Tanzania achana na hawa Vodacom hawamfikiii hata kidogo
[/QUOT
HAHAHAHHA HAYA NJUNWA
Huku mwendo mdundo anytime!!
Kaka Leo nalipa Deni lako kwa 2MB/sec
Hapo ilikua inapanda mpaka 2.3MB/sec ila nimekupa average ikishuka sana 1.8MB/sec na ndo uppepo ukivuma vibaya napata speed ya kijinga 1MB/sec
Kwa kweli Airtel ni mtandao wenye Kasi kweli hapa Tanzania achana na hawa Vodacom hawamfikiii hata kidogo