its.the authentication.codes that will be only.6000/ per month.haihitaj ununue code 10 hata moja.tu
kipi hakija eleweke hapo????@njunwa the IT
.its.the authentication.codes that will be only.6000/ per month.haihitaj ununue code 10. hata moja.tu.
Ni PM nikofoadie codes if you are in need of..
*****viva**********
..
Nilijua wataibuka watu kama wewe eti Authetication code upuuzi mtupu!! Nyie ndo mnafanya maisha yawe magumu kwa ujinga wenu, kama una trik kamua kivyako KRAPKA DAVINOOOO
.
Mimi sioni kilichoharibika coz jamaa ameishasema tumpandie PM sasa tatizo liko wapi mjomba? Mambo ya kuvunjana moyo hayafai yakhe... Kama wewe umezoea kula kichoyo waachie wenzio washare DAVINOO zako mxy@@z
Tatizo mtu mwenye analeta habari nusu nusu
umeelewa nn kuhusu "tunnel Tunneling?
au umeelewa nn kuhusu Authetication codes?
Anyways Kula kimya kimya ndo dili siku hizi emu angalia Hii Injection Tool inavyowabamiza Hewatel mpaka 2MB/sec maana wana speed ya kuzuga mpaka 42Mbps
Nawaombea wafanye roll out mji mzima wasiwe kama Tigo waliobagua maeneo
its.the authentication.codes that will be only.6000/ per month.haihitaj ununue code 10. hata moja.tu.
.
Nilijua wataibuka watu kama wewe eti Authetication code upuuzi mtupu!! Nyie ndo mnafanya maisha yawe magumu kwa ujinga wenu, kama una trik kamua kivyako
nadhani hapa hatushindani kupashana....unaposema trick imetangazwa ni trick ipi??maana watu sijui ndo mshajiita ma CEO wa tunnelguru na pd kuliko hta hao.wamiliki kabixa...
ebu tuache ufumbudu si kila anayetumia tg anataka aitumie bila kifurush.wengi wetu tunatia kifurush then tuna tunnel kwa any dedicatef server...
tuwe waelewa na tuache kujiona sie ndo wakamilifu..
najua suala hapo sio maneno ya tunneling wala nin mi najua hicho ki.6000/ndo kinasababisha hayayote..mi nonachoshaur em acheni mambo ya kizaman...hata ISPs wazibe kuna watu wataendelea tumia hzo pd na tg wakiwa na vifurish vyao..
ukiona nafaid saaaana bas ma we shusha chin ya hapo ama nin...
Acha uchawi !
Akamue kivyake kivipi kama anataka pesa ?
Akamue kivyake kivipi wakati nyie mnaojifanya mnakamua kivyenu mnakujaga hapa kulalamika !
Mbona wengine tunakamua na tupo kimya tu !
Ila nyie mkaja mpaka hapa kumsema mwenzenu Mwl.RCT !
Kwanini msingelalamikiana kimya kimya ? Mpaka mumseme mwenzenu hazarani bila hata Roho zakiume ! Kumsitili mwenzenu !
Acheni wengine wenye tricks wale pesa ! Ila sio kuwasema kijinga kijinga !
Permittive level has been reached the peak !
Others we still watching over you ! Though we still shitting thee feelings !
OVER
:closed_2:
snipa
Hiyo itakuwa kwetu Manzese maana wafukuza upepeo ni kawaida hiyo 24/7 mida mida inapanda hadi 2.2MB/s hadi raha
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mbona imesaidia humu JF internet haiuzwi kishamba inauzwa kiutu uzima unlike before tulivokua tunafanya....
Hapo kwenye red umetisha,unakamua upo kimya afu unasema bado
Tatizo mtu mwenye analeta habari nusu nusu
umeelewa nn kuhusu "tunnel Tunneling?
au umeelewa nn kuhusu Authetication codes?
Anyways Kula kimya kimya ndo dili siku hizi emu angalia Hii Injection Tool inavyowabamiza Hewatel mpaka 2MB/sec maana wana speed ya kuzuga mpaka 42Mbps
Nawaombea wafanye roll out mji mzima wasiwe kama Tigo waliobagua maeneo