Huyo Polepole ni mnafiki kupindukia, kiroboto wahed. Awamu ya tano alikua msema hovyo na kukandia Awamu ya nne, huyu ni kiroboto mhuni.
Polepole ana shangaa nini kumsema Nape alichukia Awamu ya tano kwani Polepole ndani ya nafsi yake anaipenda Awamu ya mama Samia?
Nasema ningemkuta peke yake ninge mkata vibao vya kutosha.