Tunduma Twende Na Mwakajoka

Tunduma Twende Na Mwakajoka

katusyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
1,455
Reaction score
434
Niuli Ya Wanachi Mbalimbali Wa Jimbo Jipya La Tunduma, Jimbo Hili Mpaka Kufikia Leo Walikuwa Wachukua Form Si China Ya Watu 16, Lakini Wengine Wanaonekana Kama Wasikindizaji Kwani Nguvu Alizonazo Mwakajoka Si Za Kawaida Na Kazi Alioinyesha Pindi Alipokuwa Diwani, Si Ya Kawaida Mpaka Watu Wamefikia Kusema Tunduma Bila Mwakajoka Haiwekani Viva Mwakajoka
 
Tunduma ni property ya CHADEMA hilo hatuna haja ya kuvunjiana heshima hapa JF.
 
kwa tunduma ni mwakasnake tu....magamba msijisumbue...
 
Back
Top Bottom