Mkuu naomba nieleweshe ni namna ipi huo mgomo ume affect huwo mpaka kufungwa.. Ilikuwaje? Wanafunzi walikuwa wanaelekea wapi? labda kama nimekosea, as far as I know hakuna ofisi ya Serkali ama shule karibu na mpaka wa nchi hizi mbili. In the sense kwamba immediate area of concern.
wanafunzi wanagombea madaftar kutoka kwenye boma bado halijaungua jengo zima, watu wanajibebea vitu vya bomani, pikipik ya boma inachomwa mda huu, ntajitahid kwenye picha
Hbari za kuthibitika toka Wilayani Tunduma ni kwamba wanafunzi toka baadhi shule wameandamana kuishinikiza serikali iwasikilize walimu na kutatua madai yao, katika maandamano hayo kulitokea purukushani na polisi hali iliyosababisha vurugu kubwa na uharibifu wa mali na majengo ya Halmashauri yamechomwa moto