Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,808
- 165,568
Hiyo ni heading tu ya kuuza gazeti.Mwandishi katafsiri maneno ya Lissu kwa namna iliyolenga kuvutia wanunuzi wa gazeti.
Kama kawaida yako.........unafiki kwako ni faradhi.Hiyo ni heading tu ya kuuza gazeti.Mwandishi katafsiri maneno ya Lissu kwa namna iliyolenga kuvutia wanunuzi wa gazeti.
Lakini Lissu ni Mwanaharakati...mbona yupo inconsistent?Inconsistence kwa wanasiasa ni jambo la kawaida ila kw wanaharakati sio jambo la kawaida.
Nenda kazomo gazeti kijana,...kwani ni mara ya kwanza Lissu kumeza matapishi?Hiyo ni heading tu ya kuuza gazeti.Mwandishi katafsiri maneno ya Lissu kwa namna iliyolenga kuvutia wanunuzi wa gazeti.
"Mtaniua.....mtaniua.....mtaniua.....saa tisa ya kupelekwa rumande haijafika...."-Godbless Lema , mahakamani Arusha, 29 August 2016.'Tumefika hapa tulipofika kUTokana na Udhaifu wa Rais Kikwete'-John Mnyika MB. 2005-2015
' Watu walipokuwa wanasema tutamiss Kikwete sikuelewa sasa nimeanza kuelewa' -Godbless Lema MB 2016
'Tumefika hapa tulipofika kutokana na uimara wa Rais Magufuli'- Pohamba
Ha ha ha halafu alijifanya kuzira kula!...baada ya kuwekewa dripu anajifaragua eti 'alifunga kufanya maombi'..halafu kagoma kurudi rumande kuendelea na mfungo."Mtaniua.....mtaniua.....mtaniua.....saa tisa ya kupelekwa rumande haijafika...."-Godbless Lema , mahakamani Arusha, 29 August 2016.
He is a confused guy.Habari JF!
Katika muendelezo wa 'ukinyonga'..Tundu kaja na kilio cha kumkumbuka Jakaya Kikwete,Raisi Mstaafu na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, kw kifupi Tundu kaelezea yafuatayo,kwa mujibu wa gazeti la mwananchi tar.30.08.2016;
- Anakiri kumkashifu JK kwa Dhaifu na alimuorodhesha kwenye orodha ya mafisadi na anaongea kwa kujuta.
- Anamkumbuka kwa 'Bunge Live'
- Anamkumbuka jinsi alivyochukua hatua ya 'kumfurusha' aliekuwa waziri mkuu wake kwa kashfa ya Richmond.
- Anamkumkumbuka kwa kuruhusu serikali yake kujadiliwa kuhusu makosa ya ufisadi.
- Kwa ujumla anamkumbuka JK kwa uongozi thabiti na demokrasia.
My take;
Huy Tundu ni kama leo anakiri kuwa yote waliyasema kuhusu Raisi Mstaafu Jakaya Kikwete walikuwa wanamsingizia ili kupata uungwaji mkono na wananchi...alishakiri hadharani kuwa walimsingizia Lowassa...ipo siku pia atatoka kwenye vyombo vya habari huku akilia machozi akimwomba msamaha Raisi Magufuli kwa uongo na uzushi anaompaka ni suala la muda tu.
"Mtaniua.....mtaniua.....mtaniua.....saa tisa ya kupelekwa rumande haijafika...."-Godbless Lema , mahakamani Arusha, 29 August 2016.
Habari JF!
Katika muendelezo wa 'ukinyonga'..Tundu kaja na kilio cha kumkumbuka Jakaya Kikwete,Raisi Mstaafu na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, kw kifupi Tundu kaelezea yafuatayo,kwa mujibu wa gazeti la mwananchi tar.30.08.2016;
- Anakiri kumkashifu JK kwa Dhaifu na alimuorodhesha kwenye orodha ya mafisadi na anaongea kwa kujuta.
- Anamkumbuka kwa 'Bunge Live'
- Anamkumbuka jinsi alivyochukua hatua ya 'kumfurusha' aliekuwa waziri mkuu wake kwa kashfa ya Richmond.
- Anamkumkumbuka kwa kuruhusu serikali yake kujadiliwa kuhusu makosa ya ufisadi.
- Kwa ujumla anamkumbuka JK kwa uongozi thabiti na demokrasia.
My take;
Huy Tundu ni kama leo anakiri kuwa yote waliyasema kuhusu Raisi Mstaafu Jakaya Kikwete walikuwa wanamsingizia ili kupata uungwaji mkono na wananchi...alishakiri hadharani kuwa walimsingizia Lowassa...ipo siku pia atatoka kwenye vyombo vya habari huku akilia machozi akimwomba msamaha Raisi Magufuli kwa uongo na uzushi anaompaka ni suala la muda tu.
Tundu Lissu ni kiongozi mkuu wa Timu Matapishi na ni kigeugeu.Habari JF!

na bado naye ni Nabii huko chadema.He is a confused guy.
Kasome gazeti LA mwananchiHatuhitaji propaganda za lumumba
Wewe ndo zezeta kasome gazeti LA mwananchiCcm ni mazezeta.