Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Habari JF!
Katika muendelezo wa 'ukinyonga'..Tundu kaja na kilio cha kumkumbuka Jakaya Kikwete,Raisi Mstaafu na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, kw kifupi Tundu kaelezea yafuatayo,kwa mujibu wa gazeti la mwananchi tar.30.08.2016;
My take;
Huy Tundu ni kama leo anakiri kuwa yote waliyasema kuhusu Raisi Mstaafu Jakaya Kikwete walikuwa wanamsingizia ili kupata uungwaji mkono na wananchi...alishakiri hadharani kuwa walimsingizia Lowassa...ipo siku pia atatoka kwenye vyombo vya habari huku akilia machozi akimwomba msamaha Raisi Magufuli kwa uongo na uzushi anaompaka ni suala la muda tu.

- Anakiri kumkashifu JK kwa Dhaifu na alimuorodhesha kwenye orodha ya mafisadi na anaongea kwa kujuta.
- Anamkumbuka kwa 'Bunge Live'
- Anamkumbuka jinsi alivyochukua hatua ya 'kumfurusha' aliekuwa waziri mkuu wake kwa kashfa ya Richmond.
- Anamkumkumbuka kwa kuruhusu serikali yake kujadiliwa kuhusu makosa ya ufisadi.
- Kwa ujumla anamkumbuka JK kwa uongozi thabiti na demokrasia.