Tundu Lissu: Wameshindwa kutuua, Wameshindwa kutufunga sasa wanajitahidi kutugawa lakini hawataweza

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,371
142,612
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Wataalamu wa Chadema na wenzao wa CCM wameketi pamoja kuangalia namna bora ya kupata Katiba mpya.

Kuhusu yeye kutoelewana na Mwenyekiti Mbowe, Lisu amesisitiza hajawahi kupishana kauli na Mbowe hata Siku Moja hizo ni Siasa za Watu wenye hofu wanaoiogopa Chadema.

Lissu amesema hawa jamaa wamejaribu kutuuwa Wameshindwa wamejaribu kutufunga wameshindwa na sass wananaribu kutugawa lakini hawataweza.

Lisu amesisitiza wanaoizushia mambo Chadema ni Watu waliojawa na hofu Juu ya hatma zao pindi Chadema wakiuwasha moto usiozima.

Source: ITV Dakika 45
 
Duh, Lissu ka-dominate mainstream na online media kila kona. Huyu jamaa hata usipompenda lazima utakumbana nae tu. Maana kila mahala yupo. Hapa JF hakuna uzi utakuta jina lake halijatajwa. Nakumbuka JK aliwahi kusema ni bora huyu ndugu awe Rais kuliko kuwa Mbunge. Ha ha haa!
 
Lissu Hana kitu Kwa Sasa.Hajui anachokisimamia Hadi Sasa.
KItendo Cha kumtukana JPM alikuwa anawatetea wanyonge..hapo ndo mwisho wake kisiasa ulipokuwa.

Ni kelele zisizo kuwa na impact yoyote.

Kwa ufupi,anatumika tu
 
Lissu Hana kitu Kwa Sasa.Hajui anachokisimamia Hadi Sasa.
KItendo Cha kumtukana JPM alikuwa anawatetea wanyonge..hapo ndo mwisho wake kisiasa ulipokuwa...
Wanyonge ndiyo akina nani ?au akina sabaaya na akina makonda ndoyo wanyonge kunyanganya watu pesa kwenye maduka yao na akaunti za watu kufungwa ndoyo kutetea wanyonge ndugu inaonesha weee unikuwa mmoja wa faidikaji na utawala wake sisi tuache tuko na mama wetu kipenzi anawanyooshaje hakuna teuzi za kunjikomba ndiyo maana awaita chawa
 
Ukatibu mkuu wa Mnyika kuti kavu, aliyemwambia amle yule dada wa gerezani singida wakati akijua ni WA jamaa ......jamaa akaamua kumwaga mboga kuwakataa wa viti maalum ili tukose wote....sijui lakini
 
Lissu Hana kitu Kwa Sasa.Hajui anachokisimamia Hadi Sasa.
KItendo Cha kumtukana JPM alikuwa anawatetea wanyonge..hapo ndo mwisho wake kisiasa ulipokuwa.

Ni kelele zisizo kuwa na impact yoyote.

Kwa ufupi,anatumika tu
Na sasa kila mtu anajua maovu ya jpm,jambazi,katili,asiye na huruma hata chembe,ni wajinga wachache tu ndiyo wamebaki wakimsujudu,ukiwemo wewe
 
Ukatibu mkuu wa Mnyika kuti kavu, aliyemwambia amle yule dada wa gerezani singida wakati akijua ni WA jamaa ......jamaa akaamua kumwaga mboga kuwakataa wa viti maalum ili tukose wote....sijui lakini
Punguza utoto dogo.
 
Back
Top Bottom