Mmeshaomba kibali cha KUITIKISA IRINGA!?Mwanasheria mkuu wa chadema mh Tundu lisu anatarajia kutikisa mji wa iringa tar 23 jan 2016 katika mdahalo mkubwa wa wazi ulioandaliwa na shirikisho la wanafunzi wa chadema vyuo vikuu vya mjin iringa{CHASO}.
Aidha katika mdahalo huo utakao fanyika kuanzia majira ya saa tatu asubuhi katika ukumbi wa IDYDC uliopo karibu kabisa na maktba ya mkoa,,pia Tundu lissu ataambatana na mbunge wa Iringa mjin mchungaji peter simon msigwa .Pia watakuwepo wazungumzaji wengine kutoka vyama mbalimbali na viongozi wa serikali.
MADA NI;NINI SABABU,ATHARI NA HATMA YA MKWAMO WA KISIASA ZANZIBAR.
Watu wote mnakaribishwa.
ofcoz hata kuchaa anaweza kuokota kopo akuache wewe maana kopo lona umuhimu zaidi yako.Ofcoz...kama mdahalo umeandaliwa na bavicha (baraza la vichaa), lazima jamaa aongoze
Blaza iringa kwenu haa,umejibu kwa kupaniki mpaka kutukana kwingine.Iringa hawataki kutikiswa wananchi wa huko kwa sasa wapo kwenye kilimo aende akawatikise walevi wa moshi na arusha
Duuuuhhhh....umetutukana,kwa kifupi Arusha na Moshi tumeendelea na tumestaarabika kupita kiasi...ningesema mengi lakini naogopa utajinyonga kwa hasira.Iringa hawataki kutikiswa wananchi wa huko kwa sasa wapo kwenye kilimo aende akawatikise walevi wa moshi na arusha
Kwa hiyo Tanzania mzima moshi na arusha ndo walevi acha madharau mkuuIringa hawataki kutikiswa wananchi wa huko kwa sasa wapo kwenye kilimo aende akawatikise walevi wa moshi na arusha
Walevi watakuwaje sehemu yenye Maendeleo? Walevi labda wapo huko kwenu kwenye njaa Chamwino na Mvumi ambako ccm imeruhusu mule viwavi na mende ili muishi.Iringa hawataki kutikiswa wananchi wa huko kwa sasa wapo kwenye kilimo aende akawatikise walevi wa moshi na arusha
MADA NI;NINI SABABU,ATHARI NA HATMA YA MKWAMO WA KISIASA ZANZIBAR.
Watu wote mnakaribishwa.
jui unachotapika hapo mkuu,uo mdahalo uliandaliwa na CHASO wala sio msigwa na kwa taarifa yako gharama zote za kuendesha mdahalo huo hazijatoka chadema ,na mdahalo ule ulihusu taifa kwa ujumla ndio maana hata wana ccm walikuwepoWasomi wenyewe kama ndio hao taabu tupu.Mambo ya nchi huru ya Zanzibar yanaenda jadiliwa Iringa ???????
Tundu LIsu uanasheria wake koko.Hivi hajui uchaguzi wa Zanzibar si jambo la muungano? Haumo katika katiba.Watanzania bara kuongelea mambo ya ndani ya Zanzibar ni kuvunja katiba.Ya uchaguzi wa Zanzibar yanawahusu wazanzibari wenyewe na wameamua uchaguzi urudiwe tarehe 20 march 2016.
CHADEMA Iringa wamepata umeya na unaibu meya wahangaike na kuzoa taka taka, kuzibua mitaro ya maji machafu na kuleta maendeleo kwa wana manispaa ya Iringa.Badala ya kuleta maendeleo Msigwa na Tundu lisu WANAPELEKA midahalo!!!!!
Iringa inahitaji maendeleo sio midahalo.Na ni vizuri wazungumzaji wengine wampe za uso Tundu LISSU kuwa wakazi wa manispaa ya Iringa wanataka maendeleo sio midahalo.
Yaani huo mdahalo ni njia ya kina Tundu Lisu na Msigwa kula pesa tu za CHADEMA kifisadi.Utasikia wamekodi ukumbi ,sijui chakula,sijui gharama za hoteli,sijui Posho ZA WATOA MAADA AMBAO OF COURSE NA WAO WAMO yaani pesa ya Ruzuku itabomolewa hadi ikome hapo
Je wewe unakazi? Au ndio umekalili tu?Mda wa kupoteza haupo hapa ni kazi tuu
All the best....!!!Mwanasheria mkuu wa CHADEMA mh Tundu Lisu anatarajia kutikisa mji wa iringa tar 23 jan 2016 katika mdahalo mkubwa wa wazi ulioandaliwa na shirikisho la wanafunzi wa CHADEMA vyuo vikuu vya mjini Iringa{CHASO}.
Aidha katika mdahalo huo utakao fanyika kuanzia majira ya saa tatu asubuhi katika ukumbi wa IDYDC uliopo karibu kabisa na maktba ya mkoa.
Pia Tundu Lisu ataambatana na mbunge wa Iringa mjini mchungaji Peter Simon Msigwa.
Pia watakuwepo wazungumzaji wengine kutoka vyama mbalimbali na viongozi wa serikali.
MADA NI;NINI SABABU,ATHARI NA HATMA YA MKWAMO WA KISIASA ZANZIBAR.
Watu wote mnakaribishwa.
Kazi ya mbunge si kutoa midaada kama unavyodai wewe,ila ni kupigania maslahi ya watu wake kwa kuibana serikali kutatua matatizo ya wananchi!!!Kila siku bwana Tundu anatikisa kwa makongamano. Abadili stail kidogo, atikise kwa kufungua visima vya maji, kugawa vifaa vya matibabu / elimu, kuboresha nyumba za wazee,kuwezesha jitihada za kilimo na ufugaji wakisasa nk. kwa kiasi atachoweza.
Kilasiku kukalisha vijana na kuwapa historia na sheria za uongo na kweli na kuwafundisha dharau kwa viongozi wao havisaidii sana kuboresha maisha yao. wanaishia kushangilia kisha wanarudi kunywa viroba kusahau shidazao.
Tundu aache kuuza maneno tuu,aunganishe anayosema na vitendo vya maendelea ili maisha ya vijana hasa wanaojiita wasomi wa vyuo yabadilike.
Haya wale mapunguani wakariri na kutusi.