Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nimeshangazwa na kuhuzunishwa sana na Tundu Lisu kama Kiongozi mpya wa Bodi ya Wanasheria kuanza kazi yake kwa witch hunting dhidi ya Waziri Mwakyembe, hivi matatizo ya Wanasheria yameisha? Yaani ktk yote yanayowasumbua Wanasheria wa nchi hii umeona Uanachama wa Mwakyembe ni muhimu klk yote? Inaonyesha hata road map ya nini anataka kufanya hapo TLS hana!
Umezidi kudhihirisha lile ninaloliamini siku zote kwamba Tundu Lisu yuko overrated sana na watu wa chadema lkn jamaa yuko average sana, sema amezungukwa na watu ambao ni below average ...
Umezidi kudhihirisha lile ninaloliamini siku zote kwamba Tundu Lisu yuko overrated sana na watu wa chadema lkn jamaa yuko average sana, sema amezungukwa na watu ambao ni below average ...