Tundu Lissu: Wale wabunge 19 wasio na chama wamelipwa tsh 8 billion kwa miaka 3, tulifikiri ni Wabunge wa Magufuli kumbe ni wa Rais Samia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,439
142,681
Your browser is not able to display this video.

Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Halima James Mdee na wenzake 18 wameshalipwa jumla ya tsh 8 Bilioni kwa miaka 3 tu hadi sasa

Lissu amesema " tulifikiri wale wabunge ni wa Magufuli kumbe ni wa Samia".

---
Devothar amesema BAWACHA wataandamana kwa sababu ya Wabunge 19. Kuna Wabunge haramu wapo Bungeni mwaka wa tatu leo hawana chama. Katiba hii inasema usipokuwa na chama sio Mbunge.

Wako mwaka wa tatu wamelipwa bilioni 8 tumefikiri ni wa Magufuli kumbe ni wa Samia. Katiba hii inasema Rais ndiye anayeamua mishahara na malupulupu ya Wabunge

Source: Jambo TV

My take; Lissu sasa anavuruga Maridhiano!
 
Anawaambia Watanzania katika ujumla wao

Huko chamani ndio wanamficha aliyesaini fomu kinyemela!
Watanzania hawapo kwenye meza ya maridhiano "kwa ujumla wao", akawaambie wenzake walioko kwenye meza ya mazungumzo, kama wakiamua kubaki wabaki, kama ni kujitoa wajitoe.

Sio anawaacha wenzake mezani, anaenda kupiga kelele barabarani!.

Huyo aliyesaini fomu kinyemela mtaje...
 
Maridhiano na nani? Kuhusu nini? Kwa faida ya nani? Unadhani wameridhiana kuvunja katiba na sheria?
 
Watanzania hawapo kwenye meza ya maridhiano "kwa ujumla wao", akawaambie wenzake walioko kwenye meza ya mazungumzo, kama wakiamua kubaki wabaki, kama ni kujitoa wajitoe.

Huyo aliyesaini fomu kinyemela mtaje...
Kwenye Maridhiano yuko Mbowe Peke yake kama unabisha waulize Bawacha walichokutana nacho leo pale Ofisi ndogo ya Bunge
 
My take; Lisu sasa anavuruga Maridhiano!
Maridhiano hayawezi kujumuisha na uvunjifu wa waziwazi wa katiba ya nchi.

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
I support Lissu. Maridhiano ya kijinga. Huwezi kufanya maridhiano na CCM .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…