Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

Tunapowaambia nyie ni wajinga muwe mnaelewa? Nani amekwambia mimi ni Chadema? nani amekwambia ninachokiandika mimi ni cha Chadema? Huu wako hauwezi kuwa ni ujinga? Unaweza kuthibitisha kuwa Lowasa alipitishwa Chadema kwa kutoa mabulungutu? Huu wako tena hauwezi kuwa ujinga na uroporopo? Unadhihirisha ujinga pia kujaribu kuonyesha ni Dk Slaa pekee yake aliyeing'arisha Chadema. Bungeni wakati huo, kama ulikuwa hujaanza kufuatilia bunge, hoja zilijengwa na akina Zitto, hoja zilijengwa na akina Mnyika, hoja ziliendelea kujengwa na akina Halima Mdee, hoja zilijenmgwa na akina Lisu na hoja zilijengwa na akina Lema. Unamjua Wenje wewe?

Ni kaskazini ipi ambako Chadema imepukutika? Au mauzo ya Meya wa Arusha ndio yameongeza ujima kichwani mwako? Nyie ndo mnapokea propaganda rahisi za manunuzi ya madiwani na wabunge, umeona wananchi wanaombatana na hao wasaka tonge? kwa taarifa yako wao wewenyewe wanaponunuliwa wanawaogopa wananchi, hawana ujasiri wa kuwashawishi..kalaghabaho!
 
Chadema wanaamini katika kupambana na polisi badala ya kuichallenge CCM kwa hoja by Frederick Sumaye

Katika mazingira hayo mlitaka Dr Mashinji afanyaje?!
Kwa hoja zipi unazosema kama kila wanapoandaa mikutano barua zao zinajibiwa intelenjia imegundua kwamba kutakuwa na uvunjifu wa amani au kuna ujenzi jirani na eneo linalofanyika mkutano wakati Smallsmall aka Polepole na Bashiru wanafanya mikutano wanavyotaka (hizo hoja unazosema watazitoa wapi wakati mikutano mnawaletea figisu)
 
Sasa kama wewe sio Chadema, unajitapa nini kama unaijuwa Chadema nje ndani. Ukisema ngome ya kaskazini ya Chadema haijapuputika, wewe umejuwaje?

Usitumie nguvu nyingi kuficha ukweli, Lowassa hakumwaga pesa Chadema tu, hata CCM alimwaga pesa nyingi lakini haikuzaa matunda. Tunaweza mpaka kukupa kiasi alichotumia Chadema mpaka AKATEULIWA na sio KUCHAGULIWA kuwa mgombea wa Chadena kwa njia ya kuhesabu mikono ya wajumbe. Na hili la kuteuliwa nalo utabisha.

Hivi wewe wakati Dr Slaa anaunguruma bungeni, hao kina Lissu, Mnyika, Lema nk walikuwa bungeni? Wakati Dr Alaa anaunguruma bungeni hao kina Zitto, Mdee walikuwa wanajuwa hata jinsi ya kuwasilisha muswada binafsi bungeni? Kwanini unamvunjia mzee wa watu heshima ambapo amekibeba chama mpaka akafika kuwa mgombea urais na kupata 27% ya kura za urais. Tena hao kina Lema, Manyika, Sugu, Msigwa nk wanajua mchango wa Dr. Slaa na wanauheshimu.

Subiri Nov. 2020 utuletee mrejesho kama kaskazini bado ni ngome imara kwa Chadema.
 
Chadema wanaamini katika kupambana na polisi badala ya kuichallenge CCM kwa hoja by Frederick Sumaye

Katika mazingira hayo mlitaka Dr Mashinji afanyaje?!
Kwani hujui ccm siyo chama cha siasa tena? Ccm ilishajifia zamani sana, kwa sasa ccm ni dola kwa mgongo wa chama cha siasa. Nitajie nani aliyetimamu aliye ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna huyo wenu ana mpaka PhD lakini umeona anavyo behave, achana na kujua lugha tu angalia alivyovuruga kila sehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inferiority complex asingefanya lolote mbele ya middle yaani darasa la kati la nursery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…