Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

Usiwe unaokoteleza ujinga na kuuleta hapa, utadharaulika. Hakuna chama kilichotulia kama maji mtunguni. Hilo la kwanza, na unapopayukapayuka hovyo hilo usilisahau. Pili, mvutano unaoelezwa kuwepo ndani ya Chadema tatizo halianzii kwa Mbowe, bali linaanzia katika matumbo ya watu...ilikuwa kwenye matumbo ya akina Mwambe, matumbo ya akina Lowasa, matumbo ya akina Sumaye, na hata matumbo ya akina Mashinji. kama una akili uliona alichopost baada tu ya kupokelewa CCM.
Jambo la tatu, lazima ufahamu kwamba CCM ya awamu ya tano imejiapiza kuufuta upinzani na haitanii kwa kuwa imejaza washamba (in Zitto's voice). na kikwazo chao kikubwa ni Chadema maana ndicho chama cha upinzani nchini chenye nguvu. Kwahiyo, kinachofanywa sasa ni kuelekeza mashambulizi ya kila namna kwa chama hicho ili kisambaratike kabisaaa. unapoona watu wenye akili timamu wanajifanya hawaoni kabisa unyama na ukatili unaofanywa na wenye dola dhidi ya wasio na dola katika kufanya siasa, ujue hali ni tete. Sasa wewe kwa kuwa hujui yanayotokea baki ujimani!
Kama matusi na kejeli yangekuwa sera, Chadema mgekubalika kila kona. Leo hii mmeshasahau Lowassa alikuja na maburungutu ya fedha na akapitishwa kwa kura za kunyanyua mikono juu. Mmeshasahau Dr. Slaa aliyejenga hoja karibu zote bungeni na kukifanya chama kikubalike nje ya ngome yake ya kaskazini. Chadema kilikuwa ni chama cha wafanyabiashara na matajiri, masikini hakuwa na nafasi kwenye chama. Leo hii hata huko kaskazini kuanza kupuputika.

Hakuna mtu hata mmoja aliyetoka Chadema iwe kwa hiyari yake au kwa kufukuzwa anajutia huo uamuzi. Nashukuru Nyalandu amejitahidi kubadili lugha inayotumiwa na viongozi wa Chadema wa sasa, ni tofauti sana na ilivyokuwa miaka michache iliyopita ya nguvu nyingi kuliko akili. Tatizo ni nyinyi ambao bado mna elements za kizamani.
 
So called Shadow politburo ipo watu kama kina Reginald Munisi au John Mrema know a lot kuliko hata huyo katibu Mkuu, wao ndio wanajua dirty job zote at least kwa pale makao makuu maana wako proven kuhusu loyalty yao.

Mkuu tukisema hivyo basi hata CCM ambao unawatumia kama benchmark wana shida maana imekuaje former PM wawili waende upinzani??

Issue hapa ni kwamba Trust inajengwa kwa muda mrefu na ndio maana Mnyika alikua anakaimu kazi za Dr Slaa kipindi ambacho Zitto alikua naibu wa slaa!! Kwahiyo kuwa katibu mkuu doesnt make u more trustworthy au crucial kuliko watu hardcore kama kina Heche/Lissu!!!

Hiyo ni principle mkuu, ndio maana hata Fc Barcelona licha ya kuwa hierarchy inasema kocha na Rais wa timu ndio wakubwa kuliko wachezaji ila bado captain wao ndio huamua nani asajiliwe nani aondoke!! Pia ilikuwepo kwa Totti pale As Roma. Seniority haipimwi kwa vyeo bali loyalty over time
Wapi nimewatumia CCM kama benchmark?

Kama viongozi wa CHADEMA wenyewe hawaaminiani, kwa nini wananchi wawaamini na kuwapa nchi?

Hujajibu swali hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So formulaic.

After the fact, you trash him.

Why didn’t you [trash him] before the fact?

Sour grapes 🍇.
Huyu tumemzoea. Ningeshangaa kama angekaa kimya. Huyu si ndiye aliyesema Zitto ni msaliti? Jamaa alikua mwanaharakati wa maana kabla hajawa mwanasiasa. Sasa hivi kawa kama wengine tu MJASIROASIASA.
 
Wapi nimewatumia CCM kama benchmark?

Kama viongozi wa CHADEMA wenyewe hawaaminiani, kwa nini wananchi wawaamini na kuwapa nchi?

Hujajibu swali hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA wanachama wao wapo kama wa Trump. Mbowe leo akipita mitaani kavaa chupi tu lakini akshika kipaza sauti akasema nimevaa suti watamshangilia na kusema suti yake ni nzuri. Hivi ndivyo ubongo wa hawa watu ulipoharibiwa na WAJASIROASIASA
 
Huyu tumemzoea. Ningeshangaa kama angekaa kimya. Huyu si ndiye aliyesema Zitto ni msaliti? Jamaa alikua mwanaharakati wa maana kabla hajawa mwanasiasa. Sasa hivi kawa kama wengine tu MJASIROASIASA.

Kweli.

Lissu anaongea sana mpaka wakati mwingine anakosa credibility na moral authority!

Mfano: Lowassa kabla hajajiunga CHADEMA. Lowassa baada ya kujiunga CHADEMA. Na Lowassa baada ya kujitoa CHADEMA na kurudi CCM.

Jamaa anaongea sana kiasi haeleweki hata anasimamia wapi.
 
Na sasa hivi mahakama inatoa hukumu akamatwe ili aletwe Kisutu ndio ataropoka zaidi kama amechanganyikiwa vile.
 
Hawa akina Mashinji ni wahuni tu wanaocheza na watz!
Mb Kubenea
Mb Antony Komu
Mb Selasin
Hawa wapo ktk hatua za mwisho kuondoka CDM,nadhani marupurupu yao sasa ndiyo yana andaliwa,hawa ni WAHUNI tu walio geuza siasa kama kazi za kuendesha familia zao
 
CHADEMA wanachama wao wapo kama wa Trump. Mbowe leo akipita mitaani kavaa chupi tu lakini akshika kipaza sauti akasema nimevaa suti watamshangilia na kusema suti yake ni nzuri. Hivi ndivyo ubongo wa hawa watu ulipoharibiwa na WAJASIROASIASA
Asante.

Kwa kuangalia pande zote.

Wanachama wa CCM wakoje?

Uongozi wetu utavuka uwezo wa maoni ya wanachama kwa kadiri wanachama watakakavyouruhusu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi nimewatumia CCM kama benchmark?

Kama viongozi wa CHADEMA wenyewe hawaaminiani, kwa nini wananchi wawaamini na kuwapa nchi?

Hujajibu swali hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Post #117 it was CCM advantage all the way as if wao hawajapoteza multiple ministers kuja CHADEMA!!

Issue sio kuaminiana ila nmesema hii ni principle ya kiusalama worldwide kuwa taarifa nyeti ziwe mikononi mwa watu wachache.

Kingine seniority na kuaminika kwenye chama huwa haijalishi cheo na nmetoa mifano hapo juu, mtu kma Kigaila na Mnyika trust me wataaminika kuliko hata Mashinji sababu ya mengi waliofanya kwenye chama over years.
Na nilichosema hapa ni kwamba taarifa zinajadiliwa kwenye kamati kama kawaida ila taarifa nyeti sana (classified) ambazo zingine zinatoka vyanzo vya ikulu kabisa huwa zinafika kwa mbowe kwanza ndio inashuka kwa ''inner circle'' otherwise ingekua kila taarifa nyeti inakuwa disseminated hovyo kwa mazingira haya ya hama hama CHADEMA ingekufa.

Ssa Mashinji afike CCM alafu aanze kuropoka maybe media house fulani ni ya chadema, au Mo anawafadhili, ama Majaliwa ndio mgombea wao 2025, ama January ndio informant wao CCM!! unadhani kingeenda kutokea nini???

Hata wananchi huwa hatuambiwi kila kitu sio kwa kutoaminiwa ila kuepuka panic, kuna kipindi top startegist wa ISIL alipita TZ ila serikali ilikaa kimya maana ingeleta panic kwa raia na kuna uwezekano taarifa hyo ingetumika vibaya kuichafua TZ, so ikamalizwa chini chini.

Declassified information zipo kote mkuu nenda hata BOT hutokaa ujue hta software zao zimekua designed wapi.
 
Katika siasa unasema issue siyo kuaminiana?

In politics, if there is no trust, there is nothing.

Wananchi wengi wameichoka CCM, lakini hapo hapo hawaiamini CHADEMA.

Ndiyo maana hata baada ya uchafu wote CCM inaongoza na mwaka huu itashinda uchaguzi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa akina Mashinji ni wahuni tu wanaocheza na watz!
Mb Kubenea
Mb Antony Komu
Mb Selasin
Hawa wapo ktk hatua za mwisho kuondoka CDM,nadhani marupurupu yao sasa ndiyo yana andaliwa,hawa ni WAHUNI tu walio geuza siasa kama kazi za kuendesha familia zao
Sasa CHADEMA imewapa wahuni uongozi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika siasa unasema issue siyo kuaminiana?

In politics, if there is no trust, there is nothing.

Wananchi wengi wameichoka CCM, lakini hapo hapo hawaiamini CHADEMA.

Ndiyo maana hata baada ya uchafu wote CCM inaongoza na mwaka huu itashinda uchaguzi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna kitu kinaitwa lesser devil, pamoja na madhaifu ya kiutendaji CHADEMA ila ni more credible kuliko CCM afterall hawajashika dola hivyo wanapewa benefit of doubt!

Kinachoibakiza CCM ni NEC tu na busara/upole wa viongozi wa upinzani otherwise sidhani kama upinzani hauaminiki ilihali walipata 6M votes hku bara na zenji uchaguzi ukafutwa kuepusha aibu ya kuanguka.

Tungekua na aggressive and violent leaders kma Ruto au Odinga yale mafuriko ya 2015 yangesogezwa hadi mnazi mmoja pale na CCM ingezikwa rasmi.

Kule kenya huwezi ona upuuzi wa chama tawala kuua opposition maana kule wanajibu mapigo na huna la kufanya, ssa hku wanaiba sababu viongozi wetu are too soft. Ila sio sababu upinzani hauaminiki and blah blah zingine.

Ngoja kampeni zikianza utanielewa nachosema
 
Je wanaondoka wenyewe kwa sababu ya matatizo ya Chadema ama wanalipwa ? Ukweli ni kwamba wananunuliwa , sasa mtu kama Mashinji au Waitara unamnunua ili iweje ? ukiishangaa chadema basi unatakiwa uishangae na ccm inayokubali ushauri wa Polepole wa kununua watu wasio na ushawishi wowote na kuwapa vyeo huku wanachama halali wakitoswa .
Bado hatua moja tuu uwe mchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa lesser devil, pamoja na madhaifu ya kiutendaji CHADEMA ila ni more credible kuliko CCM afterall hawajashika dola hivyo wanapewa benefit of doubt!

Kinachoibakiza CCM ni NEC tu na busara/upole wa viongozi wa upinzani otherwise sidhani kama upinzani hauaminiki ilihali walipata 6M votes hku bara na zenji uchaguzi ukafutwa kuepusha aibu ya kuanguka.

Tungekua na aggressive and violent leaders kma Ruto au Odinga yale mafuriko ya 2015 yangesogezwa hadi mnazi mmoja pale na CCM ingezikwa rasmi.

Kule kenya huwezi ona upuuzi wa chama tawala kuua opposition maana kule wanajibu mapigo na huna la kufanya, ssa hku wanaiba sababu viongozi wetu are too soft. Ila sio sababu upinzani hauaminiki and blah blah zingine.

Ngoja kampeni zikianza utanielewa nachosema
Odinga ni aggressive keader? Since when?

CHADEMA wataundaje serikali ikiwa chama tu kukiendesha kinawashinda? Watu wanakikimbia kama panya wanaoikimbia meli inayozama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Odinga ni aggressive keader? Since when?

CHADEMA wataundaje serikali ikiwa chama tu kukiendesha kinawashinda? Watu wanakikimbia kama panya wanaoikimbia meli inayozama!

Sent using Jamii Forums mobile app
Odinga ni aggressive toka utawala wa Moi mkuu. Ile 2007 kama sio ubabe wake unadhani wakikuyu wangeshika adabu??

Aliwachinja kama kuku kule western kenya na rift valley, tokea hapo aliifurumusha tume kwa maandamano, alimrudisha Kenyatta kwenye meza ya mazungumzo hadi kuleta BBI, na ndio huyu alijiapisha kuwa Rais ambayo ni kesi ya uhainina hakufanywa lolote hadi leo.

Such aggressive leader ndio tumekosa kidogo Maalim, Dr slaa na Late Kamanda mawazo ndio walikaribia, otherwise 2015 CCM ingefundishwa adabu huu wizi ungeisha.

2. CHADEMA wataunda sababu ina followers zaidi ya million 6 sasa kudefect watu 100 ndio kutadhoofisha chama?? Alafu hata CCM 2015 waliondokewa na watu wazito ila walitetereka baada ya uchaguzi??

Hawa wanasiasa njaa wanaangalia upepo mkuu, CHADEMA ikishika dola wote hao watarudi kama ambavyo walikuja 2015 na siku CCM wakiangushwa wote wataihama kwa matusi mengi. Kwahiyo si kweli CHADEMA ikishika dola watakimbia ila ni vile watu wanaangalia upepo ilo wawepo kwenye upande wa ushindi.

Leo hii Magufuli akihamia ACT usishangae 50% ya CCM na CHADEMA ikaenda ACT ili wawe kwenye winning side kma Lowassa Effect ya 2015!!

Politics is a game of perceptions
 
Ndio maana nasema watu wanaosoma vibaya katiba ya JMT. Katiba ni sheria mama lakini sio sheria pekee ya JMT. Kuna sheria zingine nyingi za nchi ambazo katiba inabidi izitambuwe na kuziheshimu. Chukulia sheria ya ndoa, hakuna sehemu imesemwa kwenye katiba lakini kama nchi kuna sheria ya ndoa na imefafanua nani anaruhusiwa kuoa na kuolewa na umri kufunga ndoa.
Sheria zenye kupingana na haki za kimsingi zilizoainishwa kwenye katiba ni sheria ambazo ziko kinyume na katiba. Kama ziko ni kwamba hazifai wala hazitakiwi.
 
Back
Top Bottom