GE2025 Tundu Lissu: Sasa ile hofu yangu inatimia, kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo inafanyika gizani ili watu wasijue

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akiwa Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili


View attachment 3439936

Wanapoteza muda wao kwa kuziamini na kuhangaika na Mahakama za Nchi hii. Mahakama zetu tayari zilishapoteza dira na mwelekeo, Kangaroo Courts!
Hukumu za HAKI kamwe hazitaweza kupatikana kwa kupitia kwenye Mahakama hizi. Maamuzi ya Haki na Usawa katika Nchi hii kwa sasa ni lazima yapatikane nje ya Mahakama.

Shujaa na Hayati Hamza Mohammed wa tukio la pale Sealander Bridge Dsm kamwe hakuwahi kuugua kichaa.
 
Tunaomba mahakama imtendee Lissu haki kwa namna alivyokua anaongea asipohukumiwa kunyongwa itakua hawajamtendea haki, kitendo cha kutishia kukinukisha kilisababisha nipate hofu na niwe na mashaka na maisha yangu, mtu huyu akirudi uraiani itasababisha wananchi tusio na hatia tuishi bila amani.
 

Kipimo anachopimiwa Tundu Lissu ndicho hicho hicho kinapaswa kuwapimia hao Wapimaji.

Good for the Jews is good for the gunners, and bad for the Jews is also bad for the gunners.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema, "Sasa ile hofu yangu ya Star Chamber Court, inatima sasa, tunaingizwa katika utaratibu ambao kesi zitafanyika gizani kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo kwa maombi yao inatakiwa ifanyike gizani"
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…