OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,037
- 114,483
Kwa hali ilivyo sasa ni jambo la ajabu kuona wabongo bado tunazunguka-zunguka kutoa maoni yetu. Hali ni mbaya na hata anayesababisha hali iwe hivi anajua hali ni tete sana. Sasa ni nani atalianzisha na likianzishwa ni nani ataliunga!
Ukisoma maoni ya watu maarufu na wasomi(mbali na chama upinzani) kuhusu yanayojiri utakubaliana nani kuwa wanazunguka zunguka sana na kupapasa. They don't call a spade a spade. Kina Prof.Shivji wanatoa mafumbo tu,wengine wanasema ooh rais ashauriwe.
Hata Nape mwenyewe kaishia kupapasa tu,japo ni dhahiri kaumia sana. Lakini hajatoa dukuduku kabisa,ooh anaikubali kazi ya rais ooh mzalendo.....wapiiii wewe sema wazi wazi rais anakosea yaani cheti tu ndio kinasababisha yote haya?!!!
Lakini Mungu amemuweka juu mtu mmoja. Mtu huyu aliamkia mahabusu mchana yake akawa rais wa TLS. Ni kamanda Tundu Lissu pekee,mimi namwita Kaka wa Taifa. Naamini hata kina Nape Nnauye wanasubiri kwa hamu TL akemee udikteta uchwara.
Long life Tundu Lissu
Maneno ya Mhe.Tundu Lissu, aliyoyatamka January 29, mwaka huu makao makuu ya CHADEMA kwenye mkutano na waandishi wa habari.
______________________________________________
"Tuna Rais wa ajabu ambaye hajapata kutokea. Tunapaswa kuungana wote kupinga utawala wa dikteta huyu. Hatupaswi kumuonea aibu. Uonevu huu sio kwa wapinzani tu. Mnaweza kukaa kimya maana wanaoonewa ni wapinzani, lakini akimaliza upinzani atakuja kwenu. Msiposimama kusema kwa niaba ya wanaoonewa leo, siku mkionewa nyie hapatakua na wa kuwasemea. Tuna Rais wa ajabu, ambaye hajapata kutokea. Narudia tuna Rais wa ajabu hajapata kutokea."