Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Kuna jamaa muongo muongo fulani, aliendelea kutuongopea leo kwamba Tundu Lisu kesha rejea nchini kwa siri kuogopa ma sniper wa wasiojulikana, kwamba eti ni watu wachache wajuao taarifa hizo.
Binafsi zikumuamini kwasababu yeye ni muongo muongo na mzushi. Kwa hakika nafahamu hajarudi na nitakuwa miongoni mwa watakao fahamu, kwasababu nimewahi kuongea naye kwa simu akathibitisha akirejea tutafahamu tu, haitakuwa siri, tusubirie aje lakini hakutakuwa na report yoyote, maana hata ya MO haijatoka hata baada ya MO kuhojiwa na baadhi watuhumiwa kukamatwa na kushitakiwa, vivyo hivyo kwa Tundu Lisu.
Ingawa kuna hisia kwamba kutoka kwa wale uvcc kwamba Tundu Lisu alijifyatulia risasi hivyo wanataka yeye ku kamatwa na kuwekwa kizuizini kujibu hilo, kama ilivyokuwa kwa yule mtoto Abdul Nondo ni mkanganyiko wa kifikra hata sifahamu itakuwaje akiwasili.
 
Mkongwe hawa jamaa WA uvccm no wapu uzi sana. Inakuaje mtu ajipige risasi?
Mbona serikali ilipiga marufuku kila ya kitu yanahusiana na Lissu ikiwepo dua,

Kwanini ilikataa uchunguzi kutoka nje ili kama Lissu alijipiga risasi afunguliwe mashtaka?
 
Unangoja ripoti ya polisi hawa wa bongo au wa Qatar?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…