Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 18,036 Reaction score 25,032 Mar 27, 2021 #161 MWALLA said: Kisa amemuongelea LISSU Click to expand... Ni tapeli wa siku nyingi sana.
The Palm Tree JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 7,950 Reaction score 12,549 Mar 27, 2021 #162 Father of All said: Leteni ushahidi badala ya hisia na umbea. Kwani Lissu ni malaika? Vinginevyo tunachoweza kufanya ni kuwapuuza. Click to expand... ...................hakuvuliwa ubunge wake ..............hakunyimwa mafao yake .............hakunyimwa stahiki zake za matibabu Umeridhika sasa? Maana unaandika tu kama umekatwa kichwa na kushindwa kutumia akili yako kuyapima mambo ktk mzani wa bongo yako...!!
Father of All said: Leteni ushahidi badala ya hisia na umbea. Kwani Lissu ni malaika? Vinginevyo tunachoweza kufanya ni kuwapuuza. Click to expand... ...................hakuvuliwa ubunge wake ..............hakunyimwa mafao yake .............hakunyimwa stahiki zake za matibabu Umeridhika sasa? Maana unaandika tu kama umekatwa kichwa na kushindwa kutumia akili yako kuyapima mambo ktk mzani wa bongo yako...!!
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,911 Mar 27, 2021 #163 mama D said: Nani atampa kura sasa🙄🙄🙄🙄 Click to expand... SSH Kapewa Kura na nani? Kama hujui Namna Mungu anavyofanya kazi bado unasafari ndefu
mama D said: Nani atampa kura sasa🙄🙄🙄🙄 Click to expand... SSH Kapewa Kura na nani? Kama hujui Namna Mungu anavyofanya kazi bado unasafari ndefu
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,456 Reaction score 36,471 Mar 27, 2021 #164 Jokajeusi said: SSH Kapewa Kura na nani? Kama hujui Namna Mungu anavyofanya kazi bado unasafari ndefu Click to expand... Endelea kusubiri kwa matumaini
Jokajeusi said: SSH Kapewa Kura na nani? Kama hujui Namna Mungu anavyofanya kazi bado unasafari ndefu Click to expand... Endelea kusubiri kwa matumaini