Kawape CCM kura yako ili uonyeshe ufala,NalabukUkombozi upi!!?, Kama Dj Mbowe ameshindwa kufanya ukombozi Wa ruzuku Wa kodi zetu kwa kuzitumia kifisadi, Leo hii ndo nimpe kura yangu nimkabidhi fisi bucha (hazina).
HU NI UWENDAZIMU. JITAMBUE KIJANA😵😵
Sibishani na walevu gongo iliyopikwa na padri alielaanika. Kunywa pombe nyingine ila sio gongo we k....n.. Si
Hana lolote huyo mchumia tumbo, kivuli cha zitto kishawaua nyie "Chaga Development Manifesto" CDM.
Asikanyage Arusha atapigwa na mayai viza, watu wana uchungu naye kama nini.
CCM kura yangu ntawapa ingawa sio mwanachama wake, Sijaona chama pinzani bado!... Wewe si bure ushakunywa gongo mchana mchanaKawape CCM kura yako ili uonyeshe ufala,Nalabuk
kazi imeanza chadema mdogo mdogo,mambo mazuri sana hayo na zitto anaisoma hii nimefurahi kusikia watu wanakoment naye aanzishe chama chake waje kumsaliti
mama yako ndo amelaanika Kwan kuzaa mwanakharamu wewe.....
Hivi huwa unafahamu maana ya neno MANIFESTO? Au huwa unameza kila unalolisikia kutoka kwa Mbulula kama akina Mwigulu? Pole saaana.
Hana lolote huyo mchumia tumbo, kivuli cha zitto kishawaua nyie "Chaga Development Manifesto" CDM.
Kama umeshindwa kusikia basi hafa kuona huoni??? Sasa nimeamini. WanaChagaDeMa mnaumwa ugonjwa uitwao "OBSESSIVE-COMPULSIVE DISORDER". Hamjielewi nyie misukule ndo kila mnaloambiwa mnafuata tu kufikiri!��