M4C Pamoja Daima ndiyo Habari ya Mujini kwa Sasa.
Ndo mana unajiita majina ya laana,et nyeti huh! kwahiyo ww ni k------ma.hata domo lako linafanana na manyeti.
Kesho 23/01/2014 kamanda Tundu Lissu atakuwa ndani ya manispaa ya Moshi.
Mkutano utaanza saa 9 kiboriloni sokoni.
Tunatarajia makubwa kwenye mkutano huo
mkuu , maendeleo yapi unayotaka kumuonyesha LISSU ? Kama yapo mbona CHAMI anapumulia mashine ?
Hivi diwani wa kata ya Pasua ni wa Chama Gani?
Si mnasema CDM chama cha wachaga .................... !!!!
Naomba kama kuna mtu ana list ya kata zote na kabla zilikuwa za chama gani
Wana JF!
Leo Chadema wanafanya mkutano wao "Pamoja Daima" kata ya Kiboriloni.
Tundu Lissu ndio atakuwa kinara wa mkutano huo. Pamoja na mambo
mengine watazindua kampeni za Udiwani kata ya Kiboriloni.
Kabla ya Mkutano huo tunamuomba Tundu Lissu 'mtaalamu wa kupindisha
sheria' atembelee kata za Moshi Manispaa ambazo zinaongozwa na Madiwani
wa ccm aone zilivyo na maendeleo na miradi kuliko zile za chadema.
Lakini ajue siasa za Moshi zimebadilika sana asiende moja kwa moja jukwaani
atembee na kuona hali halisi ya wananchi wa Moshi walivyo choshwa na
Mbunge wa chadema Ndesamburo aka Babu.
acha kupayukapayupa wewe zuzu,, zungumzia mada iliyowekwa mbele yetu,, wachagga wamekuosea nini hadi unawasakama, kwani tundu lisu ni machagga? Ukiona mtu anayezungumzia mambo ya ukabila kwenye karne hii ya digital huyo ni limbukeni,,ni wapi ulienda ukakosa huduma au ajira kwa kuwa wewe mchagga??hana lolote huyo mchumia tumbo, kivuli cha zitto kishawaua nyie "chaga development manifesto" cdm.