Tundu Lissu ndani ya moshi mjini

Tundu Lissu ndani ya moshi mjini

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Kesho 23/01/2014 kamanda Tundu Lissu atakuwa ndani ya manispaa ya Moshi.
Mkutano utaanza saa 9 kiboriloni sokoni.
Tunatarajia makubwa kwenye mkutano huo
 
Hana lolote huyo mchumia tumbo, kivuli cha zitto kishawaua nyie "Chaga Development Manifesto" CDM.
 
Usilie maana Ukombozi u njiani na wewe kama nia raia mwema huna hofu ya kujali ila kama ume/unalifidi taifa hili andaa visa au jiandae kwa adhabu,

umebanwa nyeti zako shetani mkubwa weeee! Watu wa ma ccm wachumia tumo na waramba viatu utawajua tu jiandae kisaikolojia mwakani!
 
Tutaungana pamoja katika operation pamoja daima
 
Ntaanzisha harakati za kuwaombea vijana mazezeta ma ccm! Ivi mmelogwa au mnafikiria kupitia makalio ndo mana hamuwezi kabisa kutambua kwamba nchi inaliwa?
 
Napenda Zitto aanzishe chama chake ili nae ajue madhara ya usaliti
Zitto hapa ndiyo anasoma picha nzima. Akaanzishe chama chake nae aone.
CDM haikujengwa jana wala juzi kama anavyofikiri
 
Last edited by a moderator:
Hana lolote huyo mchumia tumbo, kivuli cha zitto kishawaua nyie "Chaga Development Manifesto" CDM.
akili za laki na nusu ni za hovyo sana...ndo dear Wa ujeruman anachunguzwa lazma utapiga miayo cnaa mwaka huu
 
Usilie maana Ukombozi u njiani na wewe kama nia raia mwema huna hofu ya kujali ila kama ume/unalifidi taifa hili andaa visa au jiandae kwa adhabu,

Ukombozi upi!!?, Kama Dj Mbowe ameshindwa kufanya ukombozi Wa ruzuku Wa kodi zetu kwa kuzitumia kifisadi, Leo hii ndo nimpe kura yangu nimkabidhi fisi bucha (hazina).
HU NI UWENDAZIMU. JITAMBUE KIJANA����
 
umebanwa nyeti zako shetani mkubwa weeee! Watu wa ma ccm wachumia tumo na waramba viatu utawajua tu jiandae kisaikolojia mwakani!

Huna tofauti na jina lako we mburula, ushalewa gongo ka babu yako Slaa, kinachofuata ni kucheza mziki chini ya Dj Mbowe, afu ukakojoe ukalale!
 
Ukombozi upi!!?, Kama Dj Mbowe ameshindwa kufanya ukombozi Wa ruzuku Wa kodi zetu kwa kuzitumia kifisadi, Leo hii ndo nimpe kura yangu nimkabidhi fisi bucha (hazina).
HU NI UWENDAZIMU. JITAMBUE KIJANA
 
akili za laki na nusu ni za hovyo sana...ndo dear Wa ujeruman anachunguzwa lazma utapiga miayo cnaa mwaka huu

Zitto atawapigisha kwata sana mwaka Huu, mshalewa gongo ya babu yenu Slaa, hamna jipya . Mmeona M4C imeshindwa Sasa mmeamia OPERESHENI PASUA DEMOKRASIA (����OPD) Maji yashawazidi kimo lazma mzame wanafiki
 
akili za laki na nusu ni za hovyo sana...ndo dear Wa ujeruman anachunguzwa lazma utapiga miayo cnaa mwaka huu

Zitto atawapigisha kwata sana mwaka Huu, mshalewa gongo ya babu yenu Slaa, hamna jipya . Mmeona M4C imeshindwa Sasa mmeamia OPERESHENI PASUA DEMOKRASIA (OPD) Maji yashawazidi kimo lazma mzame wanafiki.����
 
Hana lolote huyo mchumia tumbo, kivuli cha zitto kishawaua nyie "Chaga Development Manifesto" CDM.

Ndo mana unajiita majina ya laana,et nyeti huh! kwahiyo ww ni k------ma.hata domo lako linafanana na manyeti.
 
Asikanyage Arusha atapigwa na mayai viza, watu wana uchungu naye kama nini.
 
Back
Top Bottom