Tundu Lissu ndani ya Mafia

Tundu Lissu ndani ya Mafia

Tky

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
439
Reaction score
140
Huu mziki wa CHADEMA sasa ni hatari, CCM ni mkoa gani mnaweza kuponea nyie maana sumu ya ukombozi ndio inasambaa hivyo.

Wanajamvi, mh. Tundu Lissu kapiga kambi Mafia.

Tarifa hizi zilitolewa na Mabere Marando alipokuwa akihutubia mkutano wa wananchi Kibaha.
 
Mafia wanaelewa sana, ila wakimbizi wengi
 
Sitaki kusikia kiongozi yupo ofisini hela ipo zugukeni nchi nzima
 
sasa kunawatu wanalinganisha bacelona na young african,. Kazi ni kwao, habari ya kukitangaza chama ilifanyikwa mwaka 1992-1994, now nikuimarisha wananchi wajue haki zao, wajiandikishe, wapige kura walinde kula, then tukutane ikuru, wale wezi wote na vibaraka wao wajindae kisaikolojia, ndio maaana wananunua usd kwa wingi sana maana any time kitanuka...cdm mbele kwa mbele, tukutane oktoba.
 
Hii balaa sasa,mbona watakufa kwa presha hawa ccm/act?
Salum yupo songea,Msigwa Iringa, Lissu mafia,Mnyika mara.
Wenyeviti wa vijiji wanakamua huku na kule, Bavicha wanachanja mbuga. BAWACHA haooooooo. Kila kona ccm wanashambuliwa na wamepoteana kabisa. Nchi nzima mikutano inafanyika jioni na wsbh ni vikao na semina na mafunzo. Hii ndio chadema ni mipango iliyoenda shule
 
RUDIA VILE VINOTES VYAKO VYA PLANNING MKUU.. UTAELEWA NINI KINAFANYIKA.. ILI KUFIKIA LENGO LA UKAWA...HILI SIYO JESHI LA MTU MMOJA....HII TIMU KILA MTU ANAMAJUKUMU YAKE.. KAMA UNAMSUBIRI FULANI, UNAKOSEA SANA....[QUOTE=Kaliua urambo;12521135]Sio ukawa tena ? ni chadema[/QUOTE]
 
wale wanyakyusa wanasemaga, imbombo ngafu....ova.. hatuwezi kuacha kunywa mchuzi eti kisa hakuna pilipili, hata siku moja jogoo hafi kwa utitiri.....peopleeeeeeeee.
hii balaa sasa,mbona watakufa kwa presha hawa ccm/act?
Salum yupo songea,msigwa iringa, lissu mafia,mnyika mara.
Wenyeviti wa vijiji wanakamua huku na kule, bavicha wanachanja mbuga. Bawacha haooooooo. Kila kona ccm wanashambuliwa na wamepoteana kabisa. Nchi nzima mikutano inafanyika jioni na wsbh ni vikao na semina na mafunzo. Hii ndio chadema ni mipango iliyoenda shule
 
wale wanyakyusa wanasemaga, imbombo ngafu....ova.. hatuwezi kuacha kunywa mchuzi eti kisa hakuna pilipili, hata siku moja jogoo hafi kwa utitiri.....peopleeeeeeeee.

Mkuu utanilipa mbavu ulizonitengua..!!

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom