At least now you knowWho is Ruge by the way mpaka Waziri ahusike na usuluhishi?
Nadhani sasa unaiona faida ya kuwa na amani na mtuMimi sikuwa nataka wapatane
Mkuu Mtazamo, hapo kwenye bold pamenitafakarisha sana, ila pia kuna watu wana power za kauli bila kujijua, usikute kama alikuwa anasoma JF, akazingatia ushauri wako, usikute saa hizi angelikuwepo.Very honest advice mkuu tena kutoka kwa mkongwe unayeheshimika kama wewe! Binafsi nimekaa na kuzungumza na hawa wasanii inahuzunisha sana! Tena wasanii wakubwa ajabu! Brother Ruge badilika mahangaiko haya ya Dunia tusiyoijua kesho tujifunze kuwa roho safi! Yetu macho!
Maneno machache yenye maana kubwaMkuu Mtazamo, hapo kwenye bold pamenitafakarisha sana, ila pia kuna watu wana power za kauli bila kujijua, usikute kama alikuwa anasoma JF, akazingatia ushauri wako, usikute saa hizi angelikuwepo.
Rip Ruge Mutahaba, gone too soon.
P
RugeeeWho is Ruge by the way mpaka Waziri ahusike na usuluhishi?
Kiukweli Jamaa alikuwa genius. Pia nimesoma na ndugu zako tangu primary, secondary hadi chuo, jamaa walitukimbiza sana darasani, vichwani mko safi, ingebidi Tanzania tufanye research kwa nini Wahaya wana akili sana, ili kama sababu ni kula ndizi, Watanzania tule ndizi, au kama siri ni wanawake wao kujiachia na kufurahia lile Tendo la kutengeneza watoto, tuwahimize Wanawake wote wa Tanzania, wajiachie kwenye lile somo na wafurahie, yaani wa enjoy ili conception itokee kwenye happiness environment, sote tupate watu wenye akili kama Wenzetu.Rugeee
Ni KADAWho is Ruge by the way mpaka Waziri ahusike na usuluhishi?
Mkuu Mtazamo, hapo kwenye bold pamenitafakarisha sana, ila pia kuna watu wana power za kauli bila kujijua, usikute kama alikuwa anasoma JF, akazingatia ushauri wako, usikute saa hizi angelikuwepo.
Rip Ruge Mutahaba, gone too soon.
P
Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu Mathayo 5:9!.My Take.
Kupatana ni jambo jema, hivyo sasa tutaziona nyimbo za Sugu na Vinega zikirindima Clouds japo msitegemee kuusikia Anti virus!.
Kupatana ni jambo moja, kutekekeza mapatano ni jingine, na kuyatibu makovu ya bifu lao pia ni jambo jingine kabisa.
Kwa maoni yangu, nawaona Jo na Ruge ni magentlemen na sio watu wa visasi hivyo lazima wakubali to strech their reconciliation hands a bit more ili kuwa accomodate the wounded ones ambao wana makovu ya udhalimu wao!.
Nawapongeza wote kwa uamuzi huu!.
Makonda NI jambazi tusimung'unye maneno.Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu Mathayo 5:9!.
Huyu jamaa ni mpatanishi, kwenye 5R za Samia, R ya kwanza ni Reconciliation, Upatanishi. Hongera CCM kupata KM Mpatanishi, huyu atamsaidia sana yule dogo mtata, mpenda kiki!.
P
Vipi Mbowe kaitisha maandamano utakuwepo?Makonda NI jambazi tusimung'unye maneno.
Nilikuwa namuunga mkono mama tangu fedhuli atwaliwe kuzimu, lakini kitendo cha kumteuwa huyu jambazi mama hayupo serious.
Kosa la Kwanza la mama wizara nyeti ya umeme unamuweka Makamba, Mkurugenzi Maharage Chande, CCM inawadharau Sana Watanzania lakini Ole wao, watakwenda kuishi kwenye apartment zao Dubai kuna wakati wa Mungu CCM hawaujui.
Kwanza Blaza wangu yule japo alikuwa Dikiteta lakini hakuwa fedhuli na hakwenda kuzimu!, yuko peponi!.Nilikuwa namuunga mkono mama tangu fedhuli atwaliwe kuzimu
Dah!....,kauli nzito sana hii...Mkuu Mtazamo, hapo kwenye bold pamenitafakarisha sana, ila pia kuna watu wana power za kauli bila kujijua, usikute kama alikuwa anasoma JF, akazingatia ushauri wako, usikute saa hizi angelikuwepo.
Rip Ruge Mutahaba, gone too soon.
P