MNYOO JOGOO
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 195
- 94
Katika kipindi cha kuanzia 1999 hadi 2012 Wafanyakazi wa makampuni ya madini wamelipa kodi (PAYE) kubwa zaidi kuliko makampuni yenyewe ya Madini.Kwa hisani ya Tundu Lissu bungeni jana - Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi
Jamani hii analysis tunaichukulia ki-juu juu lakini ni ya maana na kuumiza kwa kweli...inawezekanaje walalahoi wanaofanya kazi migodini wakamuliwe kodi kubwa kuliko makampuni yenyewe yanayovuna madini yetu!? This is very serious...
Katika wabunge wa kwanza kuaga Jimboni kwake ni Tundu maana kweli ni Tundu lisilozibika
Katika kipindi cha kuanzia 1999 hadi 2012 Wafanyakazi wa makampuni ya madini wamelipa kodi kuwa zaidi (PAYE) kuliko makampuni yenyewe ya Madini.Kwa hisani ya Tundu Lissu bungeni jana - Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi
Katika wabunge wa kwanza kuaga Jimboni kwake ni Tundu maana kweli ni Tundu lisilozibika
Hivi......kati ya kodi/ushuru nini kinastahili kukatwa/kulipwa?I have never paid TAX.....i am just being deducted,they just take tax.Chakuzingatia hapa ni KANUNI itumikayo kukokotoa makato/malipo ya kodi kwa mwajiriwa.....haiko fair kabisa!
Katika kipindi cha kuanzia 1999 hadi 2012 Wafanyakazi wa makampuni ya madini wamelipa kodi kuwa zaidi (PAYE) kuliko makampuni yenyewe ya Madini.Kwa hisani ya Tundu Lissu bungeni jana - Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi
Umeifanya cku yangu kuwa nzuri.PINDA mkubwa Wewee!