Ni kweli kabisaItafika hatua hakuna atakaeenda mahakamani,watu wanamalizana mtaani tu,maana huko nako hakuaminiki
Tundu Lissu anachekesha sana.Mbona yeye kashinda kesi yake ya ubunge na kaipongeza mahakama.
Bulaya kamgaragaza Wassira mara tano,mahakamani na chadema wameipongeza kwa kutenda haki.
Ikiwa mwanasheria wa Mahakama kuu anatoa matamshi kama haya kwa nia ya kujipatia ujiko wa kisiasa,ni hatari sana kwa mustakabali wa kesi za wateja wake
Mwanasheria wa Chadema Tundu Lissu amesema mahakama zinatumika kama chombo cha serikali cha kukandamiza haki za watu.
Haki hiyo iwe kwako tu kila siku eeh?sheria msumeno dadaKutoa haki kumi ukaminya moja tutadai hiyo moja.
lissu ni mpayukaji mzuri sana, na hana chembe ya busaraTundu Lissu anachekesha sana.Mbona yeye kashinda kesi yake ya ubunge na kaipongeza mahakama.