Tundu Lissu: Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Anaandika Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu.
Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo katika awamu ya 5
My take ==Ushauri wangu kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paulo Makonda Vita ya madawa ya kulevya ikiendelea kuwa ya one man show itafika mahali itamshinda, hii vita si ndogo ni kubwa sana hata raisi mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete analifahamu hilo

Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!
Rais Jakaya Kikwete, amekiri kupokea majina ya vigogo wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya na kwamba majina hayo yanafanyiwa kazi na watendaji wake.
=================
.
Gazeti la Jamhuri: Majina 560 ya wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Gazeti la Jamhuri: Majina 560 ya wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya
 
Jamaa hakosagi hata vifungu vya kuwatetea wakosaji si hawahawa walimtaja Lowasa kuwa ni fisadi papa leo hata kwenye fisadi dagaa wamemtoa hata Lugumi akiamia kwao huyu jamaa hakosi vifungu vya kumtetea atulie tu hii vita ya Makonda yy inamuwashia nn
 
Ushauri wa bure kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaamu Paulo Makonda Vita ya madawa ya kulevya ikendelea kuwa ya one man show itafika mahali itamshinda, hii vita si ndogo ni kubwa sana hata JK analifahamu hilo
Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!
 
Back
Top Bottom