Tundu Lissu: Kuipa kura CCM ni kufurahia na kuruhusu mateso yetu yaendelee

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Hawa watesi wetu wako katika hatua za mwisho, kama wanajiamini kwa nini wanawawekea mizengwe wagombea wetu ili wao wapite bila kupingwa? Kama wanajiamini kwanini wanatumia risasi badala ya kujibu hoja? Nendeni mkawaambie watu kwenye Kata zenye uchaguzi Kuipa kura CCM ni kufurahia na kuruhusu mateso yetu yaendelee!! Maneno ya makubwa ya Tundu Lissu. Ni mwili uko kitandani Nairobi Hospital ila akili zake ziko Tanzania.
 
Mkuu kwa kawaida wapambanaji shujaa huwa wako hivyo maana hayo yanatoka moyoni kwa nia ya kutupa nguvu ili tuiadhibu ccm
Ha ha ha ha ha ha ha ha...haaaaaaa! Haaaaaaa...eti tundu lisu ni mpambanaji shujaa, unakipaji cha kuchekesha wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…