johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,803
- 143,272
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inamfanya Rais kuwa kama mungu fulani hivi.
Lissu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kuamua kufanya chochote na Wananchi hawawezi kumfanya Kitu kwa sababu Katiba iliyopo imempa madaraka makubwa kupitiliza.
Lissu alikuwa anahutubia mkutano wa hadhara huko Mabwepande jimboni kwa baba askofu Dr. Gwajima.
Nakumbuka kuna Waziri mmoja jina nimelisahau alimuita Shujaa Magufuli Mhe. mungu
Mlale Unono!