Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

Wewe mtoa mada sio mzalendo kabisa yaani taifa linaangamia kwa kuwa na viongozi wasio na maarifa ww unataka tuwafungie macho, hapana aise.
Kwani yeye anavyo watumbua wengine anamaana gani?

"Atumbuliwe tu amna namna'

Sent using Jamii Forums mobile app
Atumbuliwe ili arudi yule RAIS tunayemmiss aliyesababisha deni tunalodaiwa miaka saba iliyopita? au aingie yule jamaa wa dili la RICHMOND?
Trudi kwenye maisha ya kupiga madili na kubwia unga?
 
Acha ujinga weye! hebu lete ushahidi wa Chadema kusherehekea hii issue. Unajua maana ya kushereheka wewe? Tunasikitika kwamba huyu huyu dikteta uchwara mkurupukaji kaiingiza tena mkenge nchi wa bilioni 86 kwa kukurupuka kwake halafu hii Serikali dhalimu ilitaka hii aibu ya Taifa kuifanya siri kubwa ili kuficha maovu ya dikteta uchwara, lakini bahati nzuri kuna wasamaria wema Serikalini wakavujisha mchezo mzima.

Najiuliza nishindwe kupata majibu au hawa wenzetu wa Chadema wakiongozwa na Lissu sio watanzania?

Kiukweli wanasheherekea sana kusikia kwamba "Bombadia" limekamatwa na litapigwa mnada na wanaotudai, hivi likipigwa mnada upande wa chadema hasa Lissu anapewa faida gani?

Mbali na bombadia, kutwa kucha wanapiga kelele kuhusu makinikia na wazi kabisa chadema hawataki serikali ishinde vita hii ya ufisadi kiuchumi
Hivi wanafaidika na nini?

D.A"mwanaume mashine"
 
Hawa viumbe wana roho mbaya kuliko kawaida wanatumia uchu wa madaraka kufanya vitu kwa siri kuikwamisha serikali wakifikiri wanaikomoa ccm kumbe ni wananchi.
Yaani jambo la maslahi ya taifa hutoi maoni yako nini kifanyike wananchi wasiteseke unapanua mdomo hadharani baada ya mbinu chafu za kukwamisha!
 
Najiuliza nishindwe kupata majibu au hawa wenzetu wa Chadema wakiongozwa na Lissu sio watanzania?

Kiukweli wanasheherekea sana kusikia kwamba "Bombadia" limekamatwa na litapigwa mnada na wanaotudai, hivi likipigwa mnada upande wa chadema hasa Lissu anapewa faida gani?

Mbali na bombadia, kutwa kucha wanapiga kelele kuhusu makinikia na wazi kabisa chadema hawataki serikali ishinde vita hii ya ufisadi kiuchumi
Hivi wanafaidika na nini?

D.A"mwanaume mashine"
Tundi Antipas Yuda Iskarioti Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada mihemuko ya kisiasa haitaiokoa taifa hili, na hali halisi tuliyoingizwa chaka na serikali ya CCM.

Mikataba ambayo serikali kupitia kwa wanasheria wetu mbumbumbu waliingia na wazungu itaendelea kuligharimu taifa, huku upande wa serikali wakisaka wachawi (upinzani), jambo ambalo si kweli. Mikataba mibovu itaendelea kuitafuna nchi hii.

Cairo's
 
Lissu is the most intelligent lawyer in African continent. He always use his career for public interest. Government lawyers most of them work for the sack of defending their daily bread instead of public interest. But also it seems that some them have qualifications such that in the eyes of lissu are vilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumechoka na ujinga wenu. Mkiambiwa ukweli kuwa maamuzi yenu ya kukurupuka yanaleta hasara mnabisha na kusema Hapakazituu, hasara zikitokea na kukumbushwa mnasema eti watu wanafurahia.
Ujinga mtaacha lini nyie? Mumelogwa? Halafu mtu mzima unakuja na hoja kama hii hadharani bila aibu! Jichunguze kama uko timamu
 
Najiuliza nishindwe kupata majibu au hawa wenzetu wa Chadema wakiongozwa na Lissu sio watanzania?

Kiukweli wanasheherekea sana kusikia kwamba "Bombadia" limekamatwa na litapigwa mnada na wanaotudai, hivi likipigwa mnada upande wa chadema hasa Lissu anapewa faida gani?

Mbali na bombadia, kutwa kucha wanapiga kelele kuhusu makinikia na wazi kabisa chadema hawataki serikali ishinde vita hii ya ufisadi kiuchumi
Hivi wanafaidika na nini?

D.A"mwanaume mashine"
Mkuu Daniel, wote ni wazalendo. Root cause ya matatizo ni mikataba mibovu. Waliosaini mikataba hiyo wapo. Kuifumua mikataba hiyo tunashikwa kigugumizi, matokeo yake tunaingia kwenye "mazungumzo" ambayo ni dhahiri yatagota kwenye mikataba hiyo hiyo. Lissu alitahadharisha hilo na tukambeza. Hayo ndiyo matokeo. Bila kujitoa kwenye mikataba lazima itakula kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najiuliza nishindwe kupata majibu au hawa wenzetu wa Chadema wakiongozwa na Lissu sio watanzania?

Kiukweli wanasheherekea sana kusikia kwamba "Bombadia" limekamatwa na litapigwa mnada na wanaotudai, hivi likipigwa mnada upande wa chadema hasa Lissu anapewa faida gani?

Mbali na bombadia, kutwa kucha wanapiga kelele kuhusu makinikia na wazi kabisa chadema hawataki serikali ishinde vita hii ya ufisadi kiuchumi
Hivi wanafaidika na nini?

D.A"mwanaume mashine"

Hatufaidiki na chochote ndiyomaana tunaionya serikali ya CCM iache kukurupuka kuvunja mikataba ambapo inatuletea hasara kama taifa.

Next time tumieni akili badala ya kukurupuka linapokuja swala la kuvunja mikataba ya kimataifa, sasa hivi taifa limepata hasara billion zaidi ya 86 kwa uzembe uliofanywa na Pombe himself.
 
Swali zuri sana kwa kfupi hawa ni vibaraka wa Wazungu. ..alafu ndio wanataka wapewe nchi?watasubiri saba. ..hawana uzalendo kwa nchi ata chembe hususan huyo mzee MIGA kibaraka wa ACCACIA
 
Hatufaidiki na chochote ndiyomaana tunaionya serikali ya CCM iache kukurupuka kuvunja mikataba ambapo inatuletea hasara kama taifa.

Next time tumieni akili badala ya kukurupuka linapokuja swala la kuvunja mikataba ya kimataifa, sasa hivi taifa limepata hasara billion zaidi ya 86 kwa uzembe uliofanywa na Pombe himself.
Na ungemkumbusha kuwa Yona na Mramba walienda jela kwa kuitia hasara seikali ya Bilion 9 jee huyu wa Bilion 87 tumfanyeje?
 
Back
Top Bottom