Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

Serikali itafute kampuni ya kisheria nchi za nje, USA,UK or Canada waingie nao mkataba wawe wanafanya nao kazi za kusimamia kesi zao nje ya nchi, pia kuwashauri katika masuala yote ya mikataba wapoingia na kampuni za nje . Kampuni hii itashirikiana na wizara ya sharia au office ya mwana sharia wa serikali. Hii kampuni sio tu itatusaidia bali tutaingia nao mkataba kuwafundisha pia wanasheria wote walioko ndani ya office ya mwanasheria baadae wakiwa tayari tutakuwa na uwezo wa kusimamia kesi wenyewe, tusione aibu eti wasomi wetu wapo kwa nini tulete kampuni ya nje? sio kuwa tunadharau wanasheria wetu lakini tutajifunza kutoka kwao katika masuala mbalimbali ya kisheria na mikataba ya kimataifa, elimu huwa haina mwisho, lakini kwa wanasheria wetu hawa wa serikali basi kesi nyingi tutashindwa.
 
c kwa mzee uyu anavyowaamini maprofeseri acha awatumie tuone
 
Kila uzembe wa CCM tulipe hata kama tunaweza kuepuka? Unafikiri inalipa CCM? Utalipa wewe na mimi ....endeleeni kushabikia muone kama vitafanya JPM asimalize mihula yake zaidi ya maumivu ya mwisho kupata mwananchi .....
dawa ya kukopa ni kulipa , dawa ya uzembe ni viboko au kifo. ccm inatakiwa ifeee ndio uzembe utaisha au ichapwe viboko
 
Ccm ni tambara bovu.Badala ya kuisaidia nchi,inaididimiza.Miaka 50 ya Uhuru,ndege tatu,huku moja ikiwa imeshikiliwa kama dhamana,bado wajinga wajinga wanatetea!!
 
Yako mambo mawili, la kwanza demokrasia, cha pili waliosababisha hilo deni wapo hai ikibidi wafilisiwe, ccm Ina majibu yote inatakiwa kushitakiwa kwa mikataba ya hovyo
 
Ukiwa na akili za kushikiwa saa hizi utaita jioni imebaki nusu saa kuwa saa moja usiku bado unaita jioni??

Ndege ikamatwe au wakachukue mashuka ya balozi mimi hainipi shida, sababu tumekuwa kwenye misingi na watoto wetu watatembea humo humo, ukikopa lazima ujue kulipa.

Dawa ya deni si ubabe wala kukimbia, mnakuwa wajinga kiasi cha kutetea utapeli na kutoheshimu maamuzi ya mahakama.
Unakumbuka Mkapa alikupeni jina gani? Malofa na wapumbavu. Misingi ya familia yako unaileta kwenye uchumi wa nchi? Ama kweli umesadifu jina!! Na kwa kukutoa tongotongo huo sio mkopo.
 
Nyenyere NI KWELI HATA MAREKANI WANA MADENI, ILA MADENI YENYE TIJA NA SYO YA KUTIA HASARA TAIFA

Ukidaiwa hela AMBAYO ULIKOPA MBOGA hyo ni tija ILA UKIDAIWA HELA AMBAYO ULIKOPA UKAENDA KUHONGA NI UPUMBAVU AU KUDAIWA HELA BAADA YA KUMPGA MTU NI UJINGA
 
Hebu mtu mmoja alegeze hii lugha ya Malkia tuelewe wote.... Ina maana ni ndege ingine imedakwa au ni ile ile Lissu aliyoizungumzia????
 
Mtabaki hivyo hivyo,watz jifunzeni Kenya,kwenye maslahi ya taifa huwezi skia hizo yapping,all tribes zinaungana.
Mko nyuma sana,plz kwenye mambo ya msingi serikali ipongezwe na sio kila wakati ni siasa.
 
Back
Top Bottom