Tundu Lissu: CCM walivunja kanuni uchaguzi EALA



Maneno meengi na mikwara kibao, kumbe watu wenyewe ni wepesi kama manyoya, ninyi si ndiyo mliokuwa mnasema mnakwenda kumondoa Raisi wa JMTZ kwa kumpigia pmj na Wabunge wa CCM? Sasa iweje tena leo hii mnakuja hapa mkilia lia kama Watoto?
Hivi mtu wa kumuondoa Raisi wa Nchi kwa nguvu huwa analalamika na kulia lia kama Tundu Lisu? Ninyi mmejifanya wajanja na CCM wametawaka kuwaonyesha kwamba wanaijua game zaidi sasa amueni huyo wenu Masha hawezi kuwa Mbunge wa AM kama alipanga na Tundu Lisu ampe Uongozi wa TLS ili yeye apate Ubunge wa AM sasa mtalipana huko huko, bloody fool ...
 
Hizi siasa za chuki wanazoanzisha hazitaacha mtanzania hata mmoja salama!
Hatred will alway hurt both parties because there is no winner!
Nashauri wana-ccm wajitahidi kutofautiana na wapinzani wao kwa hoja!
 
Kama kuna Ma CCM basi pia kuna TuChadema.
 
Pumbaf wewe...kwani demokrasia ni lazima kupingwa? Umesomea shule gani?
Kweli upumbavu ni kipaji!
 
 
Hakuna cha laana wala nini

Chadema wange komaa wapate wabunge wengi yaani waweke mtu Wa kupambana na Juma pumba maharagwe then waconcetrate na wabunge, I am sure nchi itabadilika
Hawa watu laana haitawaacha salama.

Kama inawezekana kubadili kanuni hata hizo nafasi 2 ziende kwao waachieni tu ijulikane moja.

Na la hilo la NEC hata mimi nilipigwa butwaa na kwakweli sikuelewa kabisa liliingiaje katika huo uchaguzi.
 

Ni kweli cdm watakuwa wamekosea kama unavyotaka tuamini. Lakini inakuwaje kwenye uchaguzi wa ubunge/udiwani huwa tunapiga kelele kitendo cha mgombea kupita bila kupingwa anapokosa washindani? Kitendo hiki tumepiga kelele miaka na miaka ili mtu akikosa washindani basi kura ya ndio au hapana ifanyike, lakini kwakuwa wafaidika wa udhaifu huu ni ccm huwa mnatia pamba masikioni. Sitetei cdm kupeleka watu wawili kwa nafasi 2 lakini kwanini iwe ni kwenye uchaguzi tu wa EALA na sio kwenye uchaguzi mwingine? Hili limekaa wazi kwamba ni hila za wazi hata kama yatatolewa maelezo mengi kiasi gani.
 
MaCCM yako tayari Tanzania iwe na wawakilishi wachache kwenye Bunge la Afrika ya Mashariki (wabunge 7) kuliko kuona wawakilishi toka CHADEMA wanaingia kwenye bunge na hivyo kuwa na idadi kubwa ya wabunge tisa.
Na maCHADEMA yako radhi kupitisha kura za bila kupingwa, na yanajiita chama cha demokrasia.
 
Siku Ndugai na Tulia wakihamia CHADEMA watakuwa Malaika.
Siasa za Tanzania ulalamishi na unafiki tu
Hayo ni yakweli kabisa kwani wewe hujui kuwa wale watendao dhambi watakapotubu na kuziacha njia zao ovu Malaika hufurahi na kushangilia hata wewe mwenyewe watakutendea vivyo hivyo ndugu.
 
Wengepigiwa kura za ndio nyingi ungetembelea huu ukursa kusema kuwa vipengele vingi vya sheria vilipigwa? Mh. Tundulisu acha kuwalisha matangopoli watu ambao si wanafamilia wa sheria kiivyo. Ila jiulize nafasi zilikuwa 2 wangechaguliwa 6 na wote wakapigiwa hapana basi tungesema ni figisu za CCM ila chama chako kinapoteza umakini hata kuiga si dhambi. Basi powaa wee endelwa kuwakusanya kwa huu wimbo wa makosa ya kisheria yalisimamiwa na CCM
 

Kwa taarifa yako hilo sio tatizo kwa ccm kwani ukisusa wao wala. Nadhani uliona kilichotokea uchaguzi wa Znz baada ya Cuf kususia. Pia uliona kilichotokea ndani ya bunge la katiba baada ya Ukawa kususia. Kitakachofanyika watabadili kanuni, na sidhani kama huko EALA kuna sharti la kuona wawakilishi wa kutoka vyama kwa uwiano wa bunge. Tena kwa taarifa yako saa hii ccm wanaomba tu cdm wasusie. Kwenye hizi nchi zetu za kiafrika walio wengi bungeni huwa wanafanya wapendalo. Kwa ushauri mzuri tu ni kwamba cdm wapeleke idadi zaidi ili ccm wachague kutoka hapo kwani sasa hivi kuna ushindani wa kisiasa usio wa hoja, tija wala wa kanuni zaidi yakutunishiana misuli tu.
 


Hoja yako angalau, angalau ingekuwa na mshiko kama chadema wangefanya hivyo mara ya kwanza, lkn HAPANA wamepeleka Wagombea wawili wakaambiwa wabadilishe, wakakaidi, sasa iweje wanakuja kulia kuhusu matokeo?
 
Kumbe unajua refa cyo wenu unapeleka timu uwanjani kufanya nn,acha kulia lia
 
Hapa Lissu sijui analalamika au anaonyesha kanuni iliyovinjwa. Wabunge wa EALA wanachaguliwa na Bunge la nchi mwanachama. Sasa waliopendekezwa wamekataliwa. Bunge limekataa udikteta wa CDM kuchagua badala ya kupendekeza. Sasa wapeleke wengine kuwaondoa waliokataliwa. Na kama ni zaidi ya wawili lazima awepo mwanamke. Lissu umeipata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…