Tundu Lissu: CCM na uwongo wao wa gesi kupunguza bei ya umeme CAG kawaanika na kawashauri

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Screenshot_2017-04-13-12-57-56.png

Ndio maana sijawai msikia Magufuli akizungumzia gesi kumbe sie tunamiliki bomba tu gesi inawenyewe.

Na JK alidanganya kuwa yeye ndo rais wa mwisho kuongoza taifa maskini maana gesi ni utajiri mkubwa
 
Gesi walishagawana wala nchi,walipeana vitalu then wakaingia ubia na wachimbaji wa kizungu.

Wanaokumbuka mswada wa gesi na mafuta,ulipitishwa usiku kabla ya bunge kuvunjwa kwenda kwenye uchaguzi,huku idadi ya wabunge wakiwa hawazidi hata robo!!
 
Wanaokumbuka mswada ea gesi na mafuta,ulipitishwa usiku kabla ya bunge kuvunjwa kwenda kwenye uchaguzi,huku idadi ya wabunge wakiwa hawazidi hata robo!!
Sitasahau
 
Sure all theories are theory but not all theory is theories.
This is egg-chick approach aiseh!!!!
 
View attachment 495151

Ndio maana sijawai msikia Magufuli akizungumzia gesi kumbe sie tunamiliki bomba tu gesi inawenyewe.

Na JK alidanganya kuwa yeye ndo rais wa mwisho kuongoza taifa maskini maana gesi ni utajiri mkubwa
Huyo mlie mshangilia bungeni ndio anahusika na mikataba ya gesi na si Magufuli,endeleeni kumshangilia tu sasa mnashangaa nini,tunajua wabunge ni wanafiki ,kwani ina maana siku zote walikuwa hawajui hiyo mikataba ya gesi hadi leo wanashangaa,na Mh raisi akitaka kuipitia hiyo mokataba mnakuwa wa kwanza kusema oh raisi ataingiza nchi kwenye migogoro na mahakama za kimataifa,huyu Lissu kila kitu yeye ni kupinga tu sasa si atoe na ufumbuzi au ubunge kaanza mwaka jana
 
Gesi walishagawana wala nchi,walipeana vitalu then wakaingia ubia na wachimbaji wa kizungu.

Wanaokumbuka mswada wa gesi na mafuta,ulipitishwa usiku kabla ya bunge kuvunjwa kwenda kwenye uchaguzi,huku idadi ya wabunge wakiwa hawazidi hata robo!!
kweli aisee...!nakumbuka.na waliopitisha ile ishu si ndo hawa hawa tulio nao asilimia 90 leo au?huwa nashangaa sn nikiona nao wanashangaa mikataba ya hovyo ya nchi hii.
 
Huyo mlie mshangilia bungeni ndio anahusika na mikataba ya gesi na si Magufuli,endeleeni kumshangilia tu sasa mnashangaa nini,tunajua wabunge ni wanafiki ,kwani ina maana siku zote walikuwa hawajui hiyo mikataba ya gesi hadi leo wanashangaa,na Mh raisi akitaka kuipitia hiyo mokataba mnakuwa wa kwanza kusema oh raisi ataingiza nchi kwenye migogoro na mahakama za kimataifa,huyu Lissu kila kitu yeye ni kupinga tu sasa si atoe na ufumbuzi au ubunge kaanza mwaka jana

Wewe jamaa naomba nikusahihishe hapo kwenye bold , Lissu ndiye aliyemshauri Sizonje maana mimi nashindwa kumuita Mh sina cha kumuheshimu. Alimwambia kulikokuzuia hiyo michanga iliyopo kwenye makontena huko bandarini afanye review ya mikataba ya madini ila akiizuia hivyo ndio atapata shida na kuitia nchi kwenye migogoro na mahakama za kimataifa.

Msiwe wavivu wa kukumbuka nyinyi CCM, Wabunge wako wakishapewa milioni kumi zao wanapitisha kila kitu halafu baadae nyinyi wafuasi wao mnawaona wakosoaji wanamtisha raisi wenu.
 
Back
Top Bottom