Acha wivu kama mtoto wa kikeTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Wivu hatari sanaTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Nimewaza kwa sauti/ maandishiTanzania yangu! Tunaelekea wapi?
WE JAMAA BHANA SO, BABA YAKO AKIWA NA GARI SHULE YA KATA YENU ISINUNULIWE GARI?Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Kwa maoni yako JKT ni taasisi dhaifu,msilinganishe taasisi ya jeshi na vyama vya siasa!! Ila CDM nao wanajiita makamandaTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Mnaingiza kwa kodi za wananchi.CCM wakiamua wanaingiza hata 10,000 -