Wana JF,
All in All,
Nilipenda tu kujua DC siku alipo kula kiapo viwanja vya IKULU aliapa vipi? Na kama kuna mtu ana ile paper ya kiapo atumwagie hapa ndipo tujua Mamlaka yake yako wapi?
DC anadai kuwa alidharirishwa sana kwa kuvuliwa kitambaa kichani kuwa yeye ni muislamu safi je anajua maneno ya mungu yanasemaje ?? Yakaisali mpe kaisali na ya Mungu mpe Mungu which means alikwenya kwenye ulingo wa siasa na twajua siasa zetu zilivyo kwa hiyo DC alitakiwa kulitambua hili na ukizingatia yeye kwa taratibu za kiserikali DC ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya sasa huko alikwenda na taarifa aliwapa wenzake katika kamati ya ulinzi kuwa atakuwa eneo hilo?? kama yeye hakuona hilo na anadai kuwa kujistili kwake kule ni istaarabu sasa hakuona alama za nyakati katika hilo kuwa muda huu ni vuguvugu kubwa la kampani za kisiasa na hatakiwi kujionyesha kuwa yuko side ipi?
My Take;
na katika kiapo chaeke nadhani kuna kipengele cha kusema ata hudumia wananchi wa wilaya yake bila kuwa na itikadi ya ubaguzi kidini,kikabila,kichama na kadharika.
Kwenye mkasa ulio mkuta DC ninge penda kuwaambia Police nao waangalie source ya tatizo kwanza kabla ya kukimbilia kuwaweka watu ndani kwanza walipaswa walokamatwa na CD mmoja wapo walitakiwa wafuike Police kujieleza na interllogation ilipaswa fanyika kwa wote kwanini Police wampe kinga DC na yeye ndie alikuwa chanzo cha kutokuwepo na amani katika eneo lile?
DC's tulio nao wengi wao ni makada wa CCM katka katiba hata bila katiba haiingi akilini kukubaliana na hili swala kwanini DC wewe ni mtendaji serikalini na then hapo hapo uwe kada wa chama tawala(CCM) sio democrasia au bado tuna mfumo wa chama kimoja?? na kama kipengele hicho kipo kiondolewe mara moja au DC hicho cheo chao kifutwe, dhahili utakuwa unatete wana CCM tuu na sio wasio na chama na wenye vyama tofauti
Katika hayo yote siwaelewi January Makamba na Nape ati kulaani kitendo kilicho tokea Igunga kwa DC kuaibishwa hivi hawa vijana wamesoma kweli alama za nyakati pamoja na kuwa na elimu zao au ni kutaka kutanguliza siasa za kinafiki??
DC alikiuka miiko ya kazi zake makusudi alikuwa anajua anacho kifanya na alijua hayo yange tokea endapo ange gundurika sasa serikali na police hawajaliona hilo hata NEC halijaona hili