Sisi Mabilionea tutakutana Mlimani City kutoa mpungaTuko tayari kwa tone tone
Mistari miwili ya mwanzo baada ya salam ulizo toa, ni mistari inayo mwandaa msomaji wako kwa taarifa tofauti kabisa na hayo yaliyo fuata; pamoja na kwamba ni jambo jema.Habari zenu mabibi na mabwana.
Ni wazi kwamba haki huinua taifa, mh Tundu Lissu amejitambulisha wazi kwamba yupo tayari kupigania haki.
Ameonyesha bila hofu kuwa yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kupigania haki na mabadiliko katika taifa hili.
Nia ya kuandika ujumbe huu ni kuwaomba viongozi wa CHADEMA kuandaa mpango wa kutoa fursa kwa watanzania wazalendo na wapenda haki kumchangia pesa mh Tundu Lissu. Fedha hiyo itakayochangwa imsaidie katika maisha yake hasa atakapotoka Gerezani.
Suala hili litatoa ujumbe kwa watawala kwamba, watanzania wapenda amani na haki hawajafurahishwa na matendo ya ukandamizaji yanayofanywa serikali ya awamu ya sita.
"No reforms, no election".
Hao "wachangiaji walio CCM na walio Ikulu" michango yao ingekuwa na maana kubwa zaidi kuchangia kwa njia mbadala ambazo ni muhimu zaidi. Sisi huku kitopeni acha tuchange hata kama ni jelo jelo; itatosha kumsitiri Tundu Lissu kwa wingi wetu ulivyo.Nakubali Ila sasa mchango usiitwe CHADEMA uwe (mchango wa wapenda haki kwa Lissu)
Maana Kuna CCM Wengi hadi wengine wapo ikulu wako tayari kuchanga
Britanicca
Samia anasema wao wana nini; badala ya "tone tone"?Tuko tayari kwa tone tone
Mie nilifikiri awe anatolewa kwenda kudek muhimbili na mwananyamala dah umenikata stimuHabari zenu mabibi na mabwana.
Ni wazi kwamba haki huinua taifa, mh Tundu Lissu amejitambulisha wazi kwamba yupo tayari kupigania haki.
Ameonyesha bila hofu kuwa yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kupigania haki na mabadiliko katika taifa hili.
Nia ya kuandika ujumbe huu ni kuwaomba viongozi wa CHADEMA kuandaa mpango wa kutoa fursa kwa watanzania wazalendo na wapenda haki kumchangia pesa mh Tundu Lissu. Fedha hiyo itakayochangwa imsaidie katika maisha yake hasa atakapotoka Gerezani.
Suala hili litatoa ujumbe kwa watawala kwamba, watanzania wapenda amani na haki hawajafurahishwa na matendo ya ukandamizaji yanayofanywa serikali ya awamu ya sita.
"No reforms, no election".
MFUKO WA HAKI NA DEMOKRASIA LEO NA KESHOHao "wachangiaji walio CCM na walio Ikulu" michango yao ingekuwa na maana kubwa zaidi kuchangia kwa njia mbadala ambazo ni muhimu zaidi. Sisi huku kitopeni acha tuchange hata kama ni jelo jelo; itatosha kumsitiri Tundu Lissu kwa wingi wetu ulivyo.
Kama wapo tayari kumchangia Tundu Lissu kwa anayo yasimamia ndani ya nchi hii; basi watoe michango yao stahiki ya kumwezesha na kutuwezesha waTanzania kubadili hali yetu hii duni.
Natumaini naeleweka vyema nikusudiayo kuyawasilisha.
Habari zenu mabibi na mabwana.
Ni wazi kwamba haki huinua taifa, mh Tundu Lissu amejitambulisha wazi kwamba yupo tayari kupigania haki.
Ameonyesha bila hofu kuwa yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kupigania haki na mabadiliko katika taifa hili.
Nia ya kuandika ujumbe huu ni kuwaomba viongozi wa CHADEMA kuandaa mpango wa kutoa fursa kwa watanzania wazalendo na wapenda haki kumchangia pesa mh Tundu Lissu. Fedha hiyo itakayochangwa imsaidie katika maisha yake hasa atakapotoka Gerezani.
Suala hili litatoa ujumbe kwa watawala kwamba, watanzania wapenda amani na haki hawajafurahishwa na matendo ya ukandamizaji yanayofanywa serikali ya awamu ya sita.
"No reforms, no election".
Acha kujificha ficha nyuma wewe mwanaume, bila aibu unataka wanaume wenzako wakufanyie mabadiliko unayoyataka.Hao "wachangiaji walio CCM na walio Ikulu" michango yao ingekuwa na maana kubwa zaidi kuchangia kwa njia mbadala ambazo ni muhimu zaidi. Sisi huku kitopeni acha tuchange hata kama ni jelo jelo; itatosha kumsitiri Tundu Lissu kwa wingi wetu ulivyo.
Kama wapo tayari kumchangia Tundu Lissu kwa anayo yasimamia ndani ya nchi hii; basi watoe michango yao stahiki ya kumwezesha na kutuwezesha waTanzania kubadili hali yetu hii duni.
Natumaini naeleweka vyema nikusudiayo kuyawasilisha.
Good ideaHabari zenu mabibi na mabwana.