Habari zenu mabibi na mabwana.
Ni wazi kwamba haki huinua taifa, mh Tundu Lissu amejitambulisha wazi kwamba yupo tayari kupigania haki.
Ameonyesha bila hofu kuwa yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kupigania haki na mabadiliko katika taifa hili.
Nia ya kuandika ujumbe huu ni kuwaomba viongozi wa CHADEMA kuandaa mpango wa kutoa fursa kwa watanzania wazalendo na wapenda haki kumchangia pesa mh Tundu Lissu. Fedha hiyo itakayochangwa imsaidie katika maisha yake hasa atakapotoka Gerezani.
Suala hili litatoa ujumbe kwa watawala kwamba, watanzania wapenda amani na haki hawajafurahishwa na matendo ya ukandamizaji yanayofanywa serikali ya awamu ya sita.
"No reforms, no election".