GE2025 Tundu Lissu afikishwa tena Mahakama Kuu leo Septemba 9, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa tena leo katika Mahakama Kuu, kwa ajili ya usikilizwaji wa mapingamizi katika kesi ya uhaini inayomkabili.

Leo Septemba 9, 2025 ni mara ya pili kwa kiongozi huyo wa CHADEMA kufikishwa mahakamani hapo, baada ya usikilizwaji wa awali uliofanyika jana Jumatatu Septemba 8, 2025.

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Leo kapinga vazi la kikamanda..

The guy knows exactly what's doing...

Big up Tundu Lissu. Sisi huku nje tunachochea moto na kurusha makombora ya masafa yote (mafupi, kati na marefu) ktk Ulimwengu wa roho kwa maombi mpaka adui alegee na afe kwa kukosa pumzi...

Wameshadoda, hawaendi popote...

Mungu Yehova katika Kristo Yesu akiwa upande wetu. ni nani aliye juu yetu..?
 
Kwa jinsi ninavyojua serikali ya Tanzania, Hawamuwezi TAL hata kidogo. Wanatumia mabavu tu na kwa kuwa vyombo vya usalama wamafanya vyao ndo maana wana vitumia wanavyotaka
 
Lissu kaamua kujitetea mwenyewe. Hii platform waliompa ni zaidi ya mikutano ya hadhara. Maana anapambana na wasomi wenzake. Huku nje sisi tunapata uhondo wa sheria na kujua mapungufu ya mhimili wa mahakama.

Gooo goooo ooooo LISSU Goooooooohhhhhh
 
Mahakama imeamua kuvua nguo na kutembezwa uchi wa mnyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…