Tundu 'Frankenstein' Lissu


..nakuunga mkono 100%.

..binafsi sikupenda alivyotumia jina "Frankeinstein" ktk sentensi moja na jina la Tundu Lissu.

..lakini wakati mwingine inabidi uvumilie tu ktk kuchanganyika na hawa vijana wa Lumumba.
 
(Shhhh
usiwambie hivyo bana). Akirudi tunampokea uwanja wa ndege anarukaruka kama ndama,Bashite macho chini.
 
Mkuu unadhani mawazo yako ni mawazo ya Mungu? Lahasha! Unajidanganya aliye muokoa na kifo ndiye haswa atakaye mrudisha ktk hali yake ya awali. Sisi hatuwezi bishana na shetani (wewe) ila tunaimani na Mungu wetu aliye umba vinavyo onekana ambavyo hata wewe unaviona na visivyo onekana.
 
Well said mkuu!
 


Vipi kama hitman aliyem-shoot aliagizwa na Mungu, i mean who knows in this life!
 
Wasukuma this time midomo imezidi huku Bashite mara magfool Arusha Sasa wengine na threads zisizo na miguu Wala mikono vurugu tupo mpaka 20/20 tutakoma.
 
Piga uwa CCM your days are numbered. Huu ndio ukweli.
 
Mpango wenu ovu ume fell,
 
Nimekuwa nafikiria scenario hiyo pia Ila Kama ulivyomalizia muda utaamua maana with passage of time, sympathy inapotea, memories zinafade Na kila mtu anaendelea Na mihangaiko yake, tunabaki tu kusema Yule jamaa enzi zake...
 

Japo watu wengi wanafikiri Lisu atarudi na moto ule au zaidi, lkn mm nakuhakikishia Lisu akirudi atakuwa kama kina Ulimboka!
Ni faida gani kumtenda mtu anayethubutu hivyo?! Halafu ukayaacha mazezeta yasioelewa, na wanaunga mkono na kupiga mameza, hata pale kiongozi mkuu anapowaletea mikataba ya 3% kwa miaka 100 !!!! Ujinga gani huu watu wanauona kama uzalendo na hali ni kulizika taifa??!!
 


Tundu Lisu ni Msaliti, mwisho wa mjadala!
 
Huna ubinadamu, japo nipo CCM lakini hayo sio maneno ya kusema hujafa hujaumbika ndg
 
Huna ubinadamu, japo nipo CCM lakini hayo sio maneno ya kusema hujafa hujaumbika ndg


Ni swala la mtazamo tu, wewe kwako Tundu Lisu ni muhimu kwangu siyo, ni Binadamu kama wengine tu, hata wale wana CUF waliokuwa wanatoka Dodoma nakufariki kwa ajali ya gari mlishamgilia hapa, Watanzania waliokuwa wanapigwa risasi Kibiti pmj na Askari wetu mlikuwa mnashangilia hapa, Wenyeviti wa CCM wa Vijiji waliopigwa risasi hamkuonyesha Ubinadamu wowote ule ambao leo hii mnautaka Dunia nzima iuonyeshe kwaTundu Lisu, hata mpaka Wabunge wenu Bungeni walikuwa wanawakejeli, sasa iweje nyie mnataka kumlazimisha kila mtu awe na huzuni kwa Tundu Lisu, kama wewe una huzuni poa hiyo inatosha lkn usitake kulazimisha kila mtu, after all huzuni ni swala la mtazamo tu!
 

Aisee!

Kuna watu mna akili za ajabu kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…