Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,220
- 27,432
acha uwongo wewe huoni aibu?Yake yakianza kubwagwa ataufyata tu.. nafikiri kwake kuna ile kuachiwa na kuangaliwa huku hajui wajuayo.. na hawezi kupata cheo anachotaka hadi wenzake wakubali(ndio maana wanatendeana majanga yanayoendelea kusisukumia kama vile ni serikali). naona ataendelea kupiga mdomo tuuuuu na kuishia alipo.. akitokea kupewa cheo makombora yatarushwa pwaaaaaa..
Kwani amekatika mkono?.Leo makamanda watakuunga mkono.
Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena, kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever whoever that shut him!
Ahahaha hahahuwa nina sikia nyama ya mtu ni tam sana nadhani ya watu wa aina yako inaweza kuwa tam zaidi !!
Nawe Nyani Ngabu, umebugi kwa kujichanganya. Unasema siasa ni propaganda. Kwa hilo nami nakubaliana na wewe, lakini kilichofuatia, na ufafanuzi wako, kinakinzana na unachotaka tuelewe (rejea maandishi mazito katika bandiko lako).Zile kamata kamata zisizo na kichwa wala miguu dhidi ya Tundu Lissu na zile kesi uchwara zote zilizofunguliwa dhidi yake naamini ndizo zilizompandisha chati huyo bwana katika huu utawala wa awamu ya tano.
...
Uzushi na propaganda kwenye siasa ni jambo la kawaida sana na la kutegemewa kuwepo. Mwanasiasa asiyezusha, asiyetia chumvi, na asiyepiga propaganda atakuwa kakosea fani.
...
Hakika hii serikali ya awamu ya tano ilibugi stepu katika namna ya kumkabili Lissu na sasa amekuwa lidubwana ambaye anaweza asidhibitike tena.
Ni muda tu ndo utaotueleza.....
HahaaaNawe Nyani Ngabu, umebugi kwa kujichanganya. Unasema siasa ni propaganda. Kwa hilo nami nakubaliana na wewe, lakini kilichofuatia, na ufafanuzi wako, kinakinzana na unachotaka tuelewe (rejea maandishi mazito katika bandiko lako).
Maudhui na jinsi ya kuendesha propaganda ndiko hutofautiana kati ya mtu na mtu, au kikundi kwa kikundi. Utofauti huo unatokana na lengo la hiyo propaganda.
Nikirejea mada yako, Mh Lissu na Serikali, kisiasa wote wamekuwa wakiendesha propaganda. Kwa kuwa serikali ina madaraka, imekuwa ikitumia, silaha yake hiyo, kuhakikisha propaganda yake inafanikiwa.
Labda tu tujadili ni aina gani ya propaganda hizo na usahihi wa jinsi zinavyoendeshwa. Je, matokeo yake ni hasi au chanya kwa wahusika?
Lissu akirudi bongo atakuwa kapoa. Msitegemee yule lissu mpambanaji mliyemzoea...
Kwanza, kiakili hataweza kuwa sawa...
Pili, woga umeshamwingia. Mara nyingi alikuwa anasuguana na "wasiojulikana", ila kwa sasa hataweza tena kutumia lugha hii " niko radhi kufa, kutetea wananchi " ...
Tatu, wengi tulitegemea taharuki baada ya kupokea taarifa kuhusu kupigwa risasi. Lakini mambo yalikuwa kinyume. Raia waoga wanaendelea na kazi kama kawaida. Labda watu wa mitandao na magazeti " keyboard warriors"....
Kwa wale wanaofikiri kuwa atarudi kwenye hali yake ya awali waendelee na ndoto hiyo...
Ni uzushi na uzandiki, ndicho mlichotaka hakikuwa na hakitakuwa kama usemavyo.Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena, kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Obviously huna mifano ya walioumizwa na kurudia harakati zao kama kawaidaKwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena, kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Zile kamata kamata zisizo na kichwa wala miguu dhidi ya Tundu Lissu na zile kesi uchwara zote zilizofunguliwa dhidi yake naamini ndizo zilizompandisha chati huyo bwana katika huu utawala wa awamu ya tano.
Mara nyingi kama si zote hizo kamata kamata zilitokea baada ya yeye kutoa maneno makali dhidi ya serikali na rais.
Kuna nyakati alikuwa yupo sahihi na nyakati zingine alikuwa mzushi tu. Kwa mfano, aliposema nchi inaendeshwa kwa misingi ya kikabila na kikanda, huo ulikuwa ni uzushi tu. Zilikuwa ni propaganda tu.
Uzushi na propaganda kwenye siasa ni jambo la kawaida sana na la kutegemewa kuwepo. Mwanasiasa asiyezusha, asiyetia chumvi, na asiyepiga propaganda atakuwa kakosea fani.
Sasa mimi naamini hii serikali inafanya makosa sana katika kuwakamata na kuwafungulia mashitaka watu wanaoipinga na kuikosoa. Hizo kesi wanazofunguliwa ni vichekesho mtupu.
Katika kukosea kwao huko, naamini serikali imeunda lidubwana [monster] ambalo kuanzia sasa kwenda mbele itakuwa vigumu kulidhibiti. Lidubwana hili nalifananisha na lile lidubwana la kwenye filamu ya Frankestein.
Lidubwana hilo ndo Tundu Lissu. Hebu fikiria haya:
Jamaa keshaonyesha kuwa haogopi kuikosoa serikali wala kumsema vibaya rais [mambo ambayo ni ya kawaida sana kwenye demokrasia na ambayo yanahimizwa kufanyika].
Uthubutu na ujasiri wake huo ndo umepelekea yeye kukamatwa kamatwa na kufunguliwa vi kesi uchwara.
Uthubutu na ujasiri huo huo ndo si ajabu umepelekea yeye kushambuliwa kwa risasi kwa lengo la kutaka kumuua. Sijui kwa uhakika ni nani anayehusika na hilo shambulio.
Sasa pata picha atapopona na kurejea tena nchini na kuendelea na hatakati zake pale alipoishia!
Serikali itamfanya nini huyu mtu? Wataendelea kumsumbua na hizo kamata kamata zao na kumfungulia hivyo vi kesi uchwara mtu ambaye tayari ana huruma za umma kwa ujumla wake kutokana na yale yaliyomtokea?
Sioni utamkamataje na kumfunga mtu ambaye kanusurika kuuwawa namna ile. Akili yangu inaniambia hata dhamiri yako, kama ni safi, basi itakusuta tu.
Hakika hii serikali ya awamu ya tano ilibugi stepu katika namna ya kumkabili Lissu na sasa amekuwa lidubwana ambaye anaweza asidhibitike tena.
Ni muda tu ndo utaotueleza.....
An animal?Iam just being real!
Katika kukosea kwao huko, naamini serikali imeunda lidubwana [monster] ambalo kuanzia sasa kwenda mbele itakuwa vigumu kulidhibiti. Lidubwana hili nalifananisha na lile lidubwana la kwenye filamu ya Frankestein.
Lidubwana hilo ndo Tundu Lissu. Hebu fikiria haya:
Kwa hiyo unaunga mkono kwamba Mh. Tundu Antiphas Lissu ndiye lidubwasha (the evil moster) kwenye filamu ya Frankenstein ambaye kwa uovu wake baada ya kufinyangwa kazi yake ilikuwa ni kuuwa tu. Mleta mada ni wazi kachanganyikiwa lakini kwa wewe kuunga mkono jitihada za mleta mada kumfananisha Mh.Tundu Lissu na huyo ibilisi aliyeua watu kumeniacha hoi.hata mimi niko ccm lakini namuunga mkono
Nakubaliana nawe kuwa siasa ni propaganda, ila sikubaliani na hitimisho lako linalolenga kwamba ni Mh Lissu tu ndiye amekuwa akiendesha propaganda.Hahaaa
Hueleweki.
Unasema nimejichanganya halafu unasema unakubaliana na mimi.
Wewe ndo umechanganyikiwa.
Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena, kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Ulijua umemmaliza kweli wewe bwege na atakapo kuja utaona mziki wake labda ukatege bomu tena shame on you huoni ata aibu unaandika upuizi ningekutukana nikuvue boxer unabahati kuna banKwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena, kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!